JF Member of The Year is...

JF Member of The Year is...

Wewe tena! jina lako lipo lakini halionekani kihivihivi mpaka kwa wenye miwani kama yangu.Nipo tayari kuremove kura yangu kwa Chrispin niiweke kwako.

Kaangalie idadi ya SENKSI zako, nshakunyang'anya moja tayari kwa upuuzi uliouonyesha hapa!
 
hahaaaaaa ZD waniua mie loh!!! kumbe kuna zaidi ya Xpin duh!!!!!
 
Kuna mtu alisema watoto wa kichaga ndio wanaopenda wanaume wenye mafanikio ya kingawira na wewe ni mchaga? Invisible ni matajiri wachache wa kibongo waliopata hela zao kwa uhalali.
 
[/SIZE]

Hahahahhaa,jamani mchumba au ulikuwa unanidanganya? si uliniambia wewe ni mode? hata bht shahidi angu?
mimi nilidhani Chrispin = invisible = moderator?
Kanusha basi kama si kweli
 
Kuna mtu alisema watoto wa kichaga ndio wanaopenda wanaume wenye mafanikio ya kingawira na wewe ni mchaga? Invisible ni matajiri wachache wa kibongo waliopata hela zao kwa uhalali.

Dah! Hapa nahisi kama nimeingia choo cha kike!
 
hahaaaaaa ZD waniua mie loh!!! kumbe kuna zaidi ya Xpin duh!!!!!

Dah! We acha tu! Maumivu huanza taaaratibu! Maumivu si mchezo! Ngoja nikatafute panadol! Mi nilidhani niko peke yangu! We utakuwa shahidi yangu!
 
Kuna mtu alisema watoto wa kichaga ndio wanaopenda wanaume wenye mafanikio ya kingawira na wewe ni mchaga? Invisible ni matajiri wachache wa kibongo waliopata hela zao kwa uhalali.
Yaishe jamani,mwenzenu nisije kula bani kotekote
 
Dah! We acha tu! Maumivu huanza taaaratibu! Maumivu si mchezo! Ngoja nikatafute panadol! Mi nilidhani niko peke yangu! We utakuwa shahidi yangu!

haaa shemeji kumbe we sio invisible tena??? ulikuwa umekaimu tu nafasi au ndo ilikua gia kumpata ZD???
 
Dah! We acha tu! Maumivu huanza taaaratibu! Maumivu si mchezo! Ngoja nikatafute panadol! Mi nilidhani niko peke yangu! We utakuwa shahidi yangu!

Mchumba you are the only one.Hakuna anayeweza kuchukua nafasi yako.I LOVE YOU AND ONLY YOU
 
Hapo chacha! Ngoja nikapate valeur nirudishe kichwa changu normal!

mh shemeji hebu subiri kidogo angalau usikie TFDA wamezichoma zile feki!!!! au ndo unazifata kule tegeta?
 
Back
Top Bottom