JF Member of The Year is...

JF Member of The Year is...

Lakini mchumba si uliniambia wewe ndo invizibo nisiwe na wasiwasi wala maria magdalena asiwe na shaka?

Can you spell my name? Inafanana na invisible hiyo? Am still counting 4..........3.........
 
Bado wewe! Usisahau ukwe wetu!

Xspin (ya ukwe)

Xspin ( for being funny)

Xspin ( for being sharp...mie sina kazi na watu dull!!)😉

Hata avatar nimebadilisha just for u my dear!
 
Xspin (ya ukwe)

Xspin ( for being funny)

Xspin ( for being sharp...mie sina kazi na watu dull!!)😉

Hata avatar nimebadilisha just for u my dear!

Nadhani nguli kaziona. Tatu hizo. Na SENKSI nimekugongea. Kathibitishe. Leo mtakula Senksi zangu mpaka mvimbiwe! Ila hiyo red ningepata ufafanuzi kidogo ningekutwanga nyingine 2 pamoja na ya kusikiliza ombi langu kuhusu avatar!
 
Xspin (ya ukwe)

Xspin ( for being funny)

Xspin ( for being sharp...mie sina kazi na watu dull!!)😉

Hata avatar nimebadilisha just for u my dear!

Nilitaka nikuwekee senksi lakini nikasita.mwenzenu kiblurei hiki kigumu.
Jamani bht upo wapi? nisaidie mwenzio.
najuuuuuuuuuuuuuuuuta kukualika na kukufahamu shishi!
 
Nilitaka nikuwekee senksi lakini nikasita.mwenzenu kiblurei hiki kigumu.
Jamani bht upo wapi? nisaidie mwenzio.
najuuuuuuuuuuuuuuuuta kukualika na kukufahamu shishi!

Hehehe! Hahahaha! Hihihihi! Mkuki kwa nguruwe! Hahahaha! Hehehehe!
 
Nadhani nguli kaziona. Tatu hizo. Na SENKSI nimekugongea. Kathibitishe. Leo mtakula Senksi zangu mpaka mvimbiwe! Ila hiyo red ningepata ufafanuzi kidogo ningekutwanga nyingine 2 pamoja na ya kusikiliza ombi langu kuhusu avatar!

inabidi nianze kuwa mkali kidogo,naomba ufafanuzi kwenye my dear ya shishi.mbona imekaa kimahaba
 
PakaJimmy+
Nguli
VeraCity
Mama Joe+
Chrispin
Mwanajamiione
Masanilo
bht
Arsene Wenger
Lazy Dog
Geoff
Pdidy
Fidel80
Kaizer
ZD

NB: I respect all JF Members for their comments of stabilizing the society
 
Jamani naomba mmPM Nguli, ili aniPM mimi teh teh teh kuna issuez
 
PakaJimmy+
Nguli
VeraCity
Mama Joe+
Chrispin
Mwanajamiione
Masanilo
bht
Arsene Wenger
Lazy Dog
Geoff
Pdidy
Fidel80
Kaizer
ZD

NB: I respect all JF Members for their comments of stabilizing the society
halafu wewe,vipi leo utakuwa wapi?
nahitaji kukuona
 
PakaJimmy+
Nguli
VeraCity
Mama Joe+
Chrispin
Mwanajamiione
Masanilo
bht
Arsene Wenger
Lazy Dog
Geoff
Pdidy
Fidel80
Kaizer
ZD

NB: I respect all JF Members for their comments of stabilizing the society

SIPO nilikumisoo.mambo vp lakini?
 
hivi,
kwanini membaaz wengine majina yao yanakialama cha kujumlisha kwa mbele?
ina maana wao ni POSITIVE?!😀
 
Back
Top Bottom