Thread nzuri sana hii,nashauri kama vipi tungeweka categories mfano:
1.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Siasa
2.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Kimataifa
3.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Michezo na Burudani
4.Mchangiaji Bora wa Jukwaa la Mambo ya Kikubwa n.k
-Pia mchangiaji anayeongoza kwa Post na thread nyingi(Mzee Mwanakijiji) apewe tuzo..Pia awepo Overall member of the year..
-BTW,Mkuu Invisible;hivi ile Tuzo ya JF Member of the Month iliishia wapi??
-Nguli kama vp uweke sehemu tupige kura ili kumpata huyo JF Member of the year
-Thread nzuri sana hii mkuu...Pamo jah