nawah kufunga CCTV cameras mtapokuwepo.
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....
Mmmmmmhhh!
Hahahahahaha wale wavaa ninja mie mmoja wapo ntakuepo lol....sasa kwa taarifa yenu.....hata wale wanaovaa ninja watakuwepo full kujiachia..........watoto wa watu watajilipua salon.....shurti madikodiko.......ole wenu mtokeze........
ana akili kama za JK. eti foleni za magari DAR ni maendeleoKuingia JF ndo kuelimika? How...please explain.
Nyie ndo mnaochungulia watu wakiwa bafuni.
kweli babu wanaume tunawapenda sana......lakini kwa hili.....mtatusamehe............
pple za Arusha bhanaa na mavazi yao sio men o women wote wamepinda"uso wa mbuzi"
PRETA mbaguzi yaani ata PJ atakiwi?
Ata mie jamani?basi walau niwe DJ wa ukumbi mtakaokuwa mnajimwaga
ha ha.... PakaJimmy atakuwepo kwenye trip......coz mwaka huu pia trip itakuwepo.........hiyo na wewe uje....ila kwa hii.....soreeee.......
Wadau!Preta sasa huu ubaguzi dhahiri, sijui PJ na Mzee wa Rula na wadau watasemaje??
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Wadau!
Mimi kama kiongozi wa A-Wing ninachoweza kusema ni kwamba wazo la Preta ni wazo lake binafsi kabisa kama MwanaJF huru na kama raia wa Tanzania anayejua haki za msingi na za kikatiba kwa mwananchi.
Labda niweke wazi kuwa kwenye wazo hili hajauhusisha Uongozi wa Wing kwa namna yoyote, na kwahiyo na mimi kama kiongozi nimegeuka mtazamaji wa show!
Lakini kubwa sana na la msingi yapasa sote tujue kuwa JF kama 'whole' au seti ina subsets nyingi sana ndani!
Tukianzia na kwenye profiles zetu kuna options kadha za groups ndani ya JF!
Kuna groups za wanataaluma anuwai, kuna groups za wanamichezo, Wakulima na Wafugaji etc etc.
Je huo ni UBAGUZI?
Pili, JF kama 'Whole' ina WINGS!...Arusha, Dar, Tanga, Rock City, Dodoma etc, na zingine zitazaliwa...Je huo pia ni UbAGUZI?
JIBU NI HAPANA..SI UBAGUZI!
Nia ya msingi ya Preta si Ubaguzi, bali ni kuhakikisha kuwa wana'exploit to the maximum opportunities zote zinazoweza kupatikana ndani ya 'whole' ya JF!
Essence ya kusanyika la Preta (The Preta Gender Conference) kwa jinsi mimi nilivyomsoma ni zaidi kuongelea women issues, na fursa-chanya zinazoweza kupatikana kutokana na hiyo gender 'discrimination' conference!
Nawaomba wanajamvi tusidiscourage hii kitu kwa namna yoyote ile.
Gender ya wenzetu historically wamekuwa na sustainable struggle against men...tusipinge asili, na ndiyo maana pia kuna Wizara maalum ya Wanawake na Watoto...hamjastukia tu?
Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?
Preta, we wish you guys all the best in your undertake, and whenever you happen to need any help,we (men) are at large!
Huyu bibie anataka kutenda dhambi kubwa mithili ya kula nyama ya mtu khaa....! kwamba wanaume hawaruhusiwi!??? wanataka wakaongee nini!? Hakynani ikiwa hivyo wakirudi toka huko tarajieni matimbwili makubwa ndani ya ndoa zenu. Wakikaa peke yao wakafundishana huko... sijui...
ladyfurahia,mkuu kiongozi wa A- TOWN naomba utengue lugha hii uliyotumia hapa:
Au tuseme hamjui kauli-tata inayolazimishwa sana masikioni inayosema "...Kila penye mwanaume aliyefanikiwa, nyuma yake kuna mwanamke?