Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,315
- Thread starter
-
- #21
Shida sio serikali, shida ni washamba wachache wasio jua ustaarabu.☹️☹️ basi naona notification za JF kila Nikifungua hewala na sina mawasiliano na mtu humu , nikaja nikasema nijaribu kuwasha VPN ,
Eh mafisii haya ptuuu
Pacha punguza wenge, abroad ya juu ya kitanda ehh😅😂Hivi kwa watu tuliopo humu wanajua hatujui kutumia VPN 😹😹
Wengine saa hii tuko abroad 🤣
🤣🤣🤩Hehe kuwasha VPN kidogo ushawaza p😁rn
Kitambo sana hiyo, sema msi zitaje majina wasije fanya hayaTurbo VPN on the air..
Ya kizimkazi au umesahau Zenji tunaingia kwa passport 😹😹😹Abroad ya wapiii uduguu? Mbna hujanistuaa?
😂😂😂😂😂😂
Kuna mtu humu alisema yupo abroad lakini leo anatumia VPN ku log in JF 😹😹😹Pacha punguza wenge, abroad ya juu ya kitanda ehh😅😂
😂😂😂😂😂Ya kizimkazi au umesahau Zenji tunaingia kwa passport 😹😹😹
Najuta ss hivi sikujibu vizuri pm nilipotongozwa na diaspora. Si ningekua mambele saa hii dadako..!! 😥😹
😂😂😂😂😂😂Kuna mtu humu alisema yupo abroad lakini leo anatumia VPN ku log in JF 😹😹😹
Nimecheka sana..!!
Ila humu tunapangwa sana 🤣😹
huenda internet haiko vizuri hukoKuna mtu humu alisema yupo abroad lakini leo anatumia VPN ku log in JF 😹😹😹
Nimecheka sana..!!
Ila humu tunapangwa sana 🤣😹
😹😹😹 Kwa yanayoendelea kuna umuhimu wa kukagua Pm, tatizo na nyodo zangu sijui nitaanzaje kujichekesha..!!😂😂😂😂😂
Usinikumbushee machungu, nilikataa kuzamia upoponi, kuogopwa kuuzwa figo.
Si ningekua Abuja sahivi napiga story na udugu Bob risky.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Muongo 24/7 yupo humu anasogoa 😹😹huenda internet haiko vizuri huko
Sema mwanangu hunaga ustaarabu, kama kakosa wa kuongea si ndio ana aga😅😂Muongo 24/7 yupo humu anasogoa 😹😹
Huko abroad hawafanyi kazi?
Halafu muda sisi tunaolala naye analala na anaaga G-night 🤣
😂😂😂😂😂😂😹😹😹 Kwa yanayoendelea kuna umuhimu wa kukagua Pm, tatizo na nyodo zangu sijui nitaanzaje kujichekesha..!!
Hali mbaya udugu tufanye tutorokee hata kasulu tuzamie Burundi au Kongo tukasikize migoma ya Fally live..!! 😹😹🤣
Then tusepe Pariiii
Muongo 24/7 yupo humu anasogoa 😹😹
Huko abroad hawafanyi kazi?
Halafu muda sisi tunaolala naye analala na anaaga G-night 🤣
😹😹😹 Vee money angekua na pesa angetusumbua sana humu..!!😂😂😂😂😂😂
Nikisikia Paris, nakumbuka vin, yaan sina mbavu.
Em niache uduguu, 😂😂😂😂😂
Linda Kibwenye chakoMungu nifundishe kunyamaza.
Goodbye popoma mwitu rais wa maj0bllesI still repeat
uhuru wa kimaoni uwe kwa vitendo, kataa wahuni.