Jf karibuni pati ya mwaka mpya home

Jf karibuni pati ya mwaka mpya home

inahuu kwani kidogo? Ila pilau la kwenye sherehe tamu,ntasugua uso hivyo hivyo na hotpot langu! Ole wao wasinijazie nyama!

Tabia za kwenye wimbo wa Zari la mentali

Watoto wa kiswazi walibeba wali kwenye mashati
Umeitwa kula unakuja na hotpot, linahu??
 
Nimeicheck.... The moves are incognito za original version.... Hata hivo it is common knowledge dancing is not really her thing...
Nadhani she wants to be more of the "Original" or more of "your regular chick" because most of the time huwa ana zile move ambazo any chick can do on the dancing floor etc.

Sidhani kama hana uwezo wa kupata chereographers wa kum tune up, kwasababu ana rythm tayari you can tell by her moves, so maybe ni just her syle?

However kwa ku dance beyonce yuko juu.
 
Hey Kongosho.... nini tena? lolz

Wewe ongea tu maana hapo nahisi ka' umeniacha njia panda vile....lol...

Labda Jmushi anidadafulie!
Ha ha ha!Me too, thats why nilitegemea wewe ndo uni rescue lol
 
aaah aaah sasa si partying till six in the morning! Watu tumelala mchana ku save energy... Hakuna kulala..
Party ni mpaka mjogoo,bongo Cleveland ndo ndo wanatumbuiza
 
Offer ya party ukija hutapata ban kwa Mwakalin 2012.invisible. katangaza kwenye Mic.
 
May this new year find you healthier and happier,peaceful, content, satisfied,
looking forward to fresh, revitalizing interests,a variety of pleasures,interesting new people,material and personal successes
to make this new yearthe best one yet.
Happy New Year!
 
Firstlady tunashukuru kwa ujumbe wako, watu wote wanakuwish uweze kuishi miaka mingi kama bi kidude.
 
Back
Top Bottom