jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,444
- 25,626
Napenda ugali kwa sana tuu!Kumbe wapenda ugali eeeh? Umeuliza swala la msingi saana kuhusu nyamga aisee! lol
Na nyama choma, prefebly mbuzi lol!
Baada ya hapo a couple of shots ie Henny, nice music, good "people around"...Aah, burdaani!lol
