jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!
Hii sasa kali....
Umeamua kutudanganya mchana kweupe hivi? We kweli ni noma yaani hata hupepesi jicho?.. Tehe!
Hahaha! Wacha nibaki na jibu langu...Yaani kweupe wakati Ng'ombe bado wanakula majani ! Je? Wakishatoka malishoni ? Jibu usiniulize!
Unalo.
Afu ogopa macho yake yanaona, mbele, nyuma, katikati, pembeni, kulia kwake, kushoto kwake!..afadhali ya hao waliokuwa kwenye jf,
mbona wewe ulikuwa hutulii, kazi kupapasa macho tu.
Afu ogopa macho yake yanaona, mbele, nyuma, katikati, pembeni, kulia kwake, kushoto kwake!..
Halaf uskute walikuwa wanaperuzi jukwaa la wakubwa kanisani. Mimi hii stori naiamini kabisa yaani
na chumvi kibaooo.
Hebu angalia gia iko reverse au?jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!
Jg Bro!
umenena!...unakua kwenye mood gani ukitaka kumwaga points kama hizi??
Afu ogopa macho yake yanaona, mbele, nyuma, katikati, pembeni, kulia kwake, kushoto kwake!..