Tena yenye tangawizi nyingiiiihii imekaa kama chai vileee..... mmmh!!!!
Tena yenye tangawizi nyingiiii
Na pia wewe kitengo cha Sayansi pale Udom wanaweza wakakuhitaji sana kwa ajili ya macho yako yakatumika kufundishia wanafunzi , kwamba sasa kuna Revolution Jicho la Binadamu kuwa na Bolojointi, kwa kuzunguka km la Camelion, maana linageuka jicho tu! Bila kichwa kuzunguka na kua na uwezo wa ku'chabo screen 5 za simu within a second !
Hayo macho usiyatangaze sana! Utavamiwa watu waondoke nayo!
Deal hilo !
jana tulikuwa kanisani kanisa kuu Arusha lutheran,wakati kwaya inaimba nilimwona mtu amekaa benchi la mbele yetu anasoma kitu kwenye simu yake,kutoa macho vizuri kumbe yupo Jamiiforum,kuangalia upande wangu wa kulia nikamwona mwingine naye yupo jamiiforum,kuangalia nyuma yangu nikamwona mwingine tena,,hehehe nilishangaa nikajiuliza Jf inatupeleka wapi???Kazi tunayo!
Na pia yenye Abdalasini na Iliki kibaoooooo.
Hivi huu uji una sukari kweli?
hii imekaa kama chai vileee..... mmmh!!!!
na chumvi kibaooo.Na pia yenye Abdalasini na Iliki kibaoooooo.