Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
Kwa nini mkeo mtarajiwa unamwita 'binti',mtafika kweli kwa style hii?Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.
Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
Kwa nini mkeo mtarajiwa unamwita 'binti',mtafika kweli kwa style hii?
weka picha basi tumuone..
Habari wanaJF,
Mda umepita tangu nijitojeze kutafuta rafiki wa kike kupitia hii forum. Bahati nzuri kwangu, naamini nimempata ambaye Mungu aliniandalia. Tumeanza taratibu sana na urafiki wetu unaendelea vizuri sana.
Naamini sana urafiki wetu utaishia kwenye ndoa takatifu. Wale wanaosema hapa hamna, jaribuni tena, ombeni na Mungu atawapa kwa kadri ya mapenzi yake. Asanteni kwa mlionitakia heri.
kila la kheri ila usinisahau
kwenye ufalme wa mnuso Elli79
hadi asikusahau umemsaidia kwa lipi mamito..
hii ni sawa na name calling chalii angu..
Asante kwa kunisaidia kujibu.... mi nilishindwa nimjibu nini.