Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,339
- 8,227
Hahahah sawa Wacha niwabishie hodi😂Akiwa hajajibu ujue kafa😅
Hahahah sawa Wacha niwabishie hodi😂Akiwa hajajibu ujue kafa😅
Karibu Sanaa cousin,atafurahi mnoo..na macharali





Dunia ilivyo ligi unawezaje kutoichezaMwisho ila si kwa umuhimu......uyo bwana alivyokuja kwako alikukula ?
.... huwa hamkawii kuchanganya ID hasa munkari ya ku-comment ikikushika.🤣🤣🤣Ile I'd ilikuwa Haina mambo ya kijinga jinga
Sasa kama mimi ukiijua ID yangu utaniuliza haya magari nayoongeleaga humu yapo wapiBora nikupe hela ila sio id yangu ya huku mana utajua vingi visivyo onekana toka umekaa na mimi.
HahahahaBora nikupe hela ila sio id yangu ya huku mana utajua vingi visivyo onekana toka umekaa na mimi.
akiona uzi si yanakuwa yale yale, unakuwa umefichama kwa kufumba macho.No,hii ni mpya nilifungua baada ya tukio niliona atakuwa anaufuatilia comment zangu
😂😂😂😂 BafanabafanaKwa hiyo Ina maana jamaa alikuacha kizembe namna hiyo?
Bila unafiki na bila kupepesa macho na kwa experience yangu ndogo Kwa upande wake naona anaweza kuwa alikua sahihi au hakuwa sahihi kwa sababu zake anazozijua yeye!
Jf kwa drama za mapenzi
NB; Sijasema msiwe na mahusiano humu!
😂😂😂Vichwa vingine bhn tuachege bangiHuwa mnakutana nazo wapi?
Unaingia jf unakuta Uzi mrefu kma mkojo wa asubuhi kutoka Kwa x wako 😀😀😀Hahaha..........kwamba mkishindwana na chochote ndani lazima aje akuanzishie Uzi JF 😅🙌
Hatari