Ninakesha leoLeo silali
Vipi usalama wa kuwalinda watumiaji upo? Piga makombora ya nguvu huko kilingeni,we born town huwezi shindwa na wakuja waliokuja na mbio za Mwenge au gari za ng'ombe town Leo wanajiona wajanja baada ya kuonyeshwa mataa ya ubungoLeo silali
Tawire baba[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji30] [emoji30] [emoji81] [emoji81] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23]Tawire mganga.....tamba tambati ya sengo ya sese miungu kagone nhong'o.
Haikua kazi rahisi kuurudisha huu msukule, uliochukuliwa na mchawi mkuu wa anga. Angalau siku mbili hizi hali ya msukule imeimarika sio tia maji tia maji tena, anakunywa Uzi uzuri na anawatambua hadi ndugu zake kama mshana Jr, Da Vinci, baba swalehe Kiranga Demiss Bujibuji Ambiele Kiviele
Tawire baba!
Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka....ya juzi sio ya Jana.....muhimu kukagua uzio wako na kuimarisha nguzo zilizolegea na kuchokaVipi usalama wa kuwalinda watumiaji upo? Piga makombora ya nguvu huko kilingeni,we born town huwezi shindwa na wakuja waliokuja na mbio za Mwenge au gari za ng'ombe town Leo wanajiona wajanja baada ya kuonyeshwa mataa ya ubungo
Ndio maana nakuona umerejea na maglasi mapya hapo usoni...Kuna umuhimu wa kuimarisha uzio wako
True mawazo ya miaka ya 60 hayawezi shindana na mawazo ya milienium.Dotcom forever.Umekuja mjini Mkubwa utashindana na dotcom.Tumefundishwa kuwa werevu kama nyoka....ya juzi sio ya Jana.....muhimu kukagua uzio wako na kuimarisha nguzo zilizolegea na kuchoka
Hakuna post ya KT inayodumu humu...zote zinafutwa dakika kadhaa tu baada ya kupostiwa na pia Mods hawatoi hata sababu za kufuta.Post ya kuishukuru KT imefutwa....!!!