Kwa nini uniweke kundi la walevi lakiniLamomy ,Binti wa zamani ,cocastic ,Aaliyyah ,Khantwe Madame B,Dr. Mariposa mh, sipati picha baada ya wine kuchanganya...............
Nb: Hawa ndiyo makungwi wa JF!!!!!!!!!!!
Alafu kanishangaza sana eti kiingilio laki tano hivi bro unaejielewa kweli, Nina uzoefu wa kuandaa hafla kibao ukitumia neno Bure una mana kuwa asilimia zote mademu watakao ingia humo sio member wa jf ni wale zoazoa karibu kupangilia mambo kisimi ili kuwatoa watu hofu, Kuna mashaka ata ya usalama pia kiingilio cha Bure una mana hata wale mademu wanywa viroba ruksa sababu I'd za jf ni tofauti na za insta au fb ambapo ingekuwa unawafahamu walengwa, bro hapo usha feli wazo zuri tena zuri sana ila limekosa mipango mizuri na ya kisomii umechukilia kama wahuni bila kujua humu Kuna waheshimiwa, Kuna watu na familia zao, celebrity nk bro panga upya urudi tena, samahan kama nmekukosea bro
Kama huna mvuto tunaoutaka tutatumia kigezo cha kuingia na 500k
Ushakuwa mkubwa!Usinifanyie hivoo🙄
Ahahahaahaaaa 🤣🤣🤣😭😭Hii pary ikiwepo nina mashaka Kuna mtu atachezea hogo la unyabeni BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO
Chukua Tiketi za VIP 😜Basi tutaenda mamtu, mimi na wewe tutakuwa pamoja, umtoe mzee uchovu😅😅
Usiseme sikukuambia lakini😎Mbingu Iko mbali Sana😅
Nikipigwa nakutafuta unisaidie😎Ushakuwa mkubwa!
Niunge kwenye praise team yenu hiyo siku
Mimi nataka nifike nipumzike sitaki hekaheka jamani☺️
Sauti ya 2😎Unaimba suti ya ngapi? Sio uharibu kwaya ya watu! 😊
Nitafanya hivyo🤸🏽♂️😎Pati ya Kipepe itafana sana! Wewe lazima upande stejini uimbe Karaoke kidogo. 😊
Huyu ni binti sayuni, asirudi na doa lolote babu nitamkagua😅😅Ndio, lazima niwahakikishie ulinzi! 😊
Hamtapata bughudha yeyote kwenye pati.
Nimempa tahadhari, ukirudi babu atakukagua!!Mimi Nimekuzoea wewe babu😎
Aww 🥰Huyu ni binti sayuni, asirudi na doa lolote babu nitamkagua😅😅
I feel safe with older guys😌Nimempa tahadhari, ukirudi babu atakukagua!!