JF Houseparty

JF Houseparty

Aisee nashindwa kuaelewa 😅😅🙌
Kwa sauti ya semaji kabisa😂
1786268563595.jpg
 
Nitakuwa DJ ngoma zote mfanye request mapema..
Pia kama una parody lako,

kama una confession kwa mtu uliyemmendea kwa miaka leta kwangu Nita announce siku hiyoo

Pia wale wenye wanataka special treatment kama kuvishana Pete na kadhalika napokea recomendation
 
Back
Top Bottom