Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,241
- 96,580
Xerioux?tuwe xerioux
Kwanini umejitag kwenye hiyo list ndefu ulotag watu?
Nwei, ngoja The Icebreaker aje
Xerioux?tuwe xerioux
Asante kwa ushauri wako na tunafanyia kaziMm sjaomba hela, ww mweny shida ya hela na uwez kuzitafuta kwa jasho unataka wanaume wenzio wakupe basi kaolewe
Mimi nimefanya kazi ngumu zote zege, saidia fundi, kubeba mizgo sokon hadi kulima
Daaah aiseee mbna mpo hvo walimwengu
😂😂😂😂😂 DaaahKijana siku nyingine ukiwa kwa mishangazi uwe unajiwekea akiba,
Ona sasa baada ya kuachika ghafla ndio unatoka usingizini na kuiona Dunia kua inahitaji utafutaji.
😀😀
Mkuu idea ya kuchangiwa mtaji sio rahisi namna hiyoDaaah aiseee mbna mpo hvo walimwengu
😂😂😂😂 Daaah mkuu basi yaishe bana... Mbna mambo yanakua complex hviMkuu idea ya kuchangiwa mtaji sio rahisi namna hiyo
Wewe ni kilema?
Uzi umeenda na mtu😀Pongezi kwa uongozi wa jf
Account itakuwa imejaa hadi muda huu
Hivi amekuachaje boss wetuKidogo nikuombe namba ngoja tusubiri matajiri waamke!
Shangaa na wewe! Atatoa mno macho leo!Hivi amekuachaje boss wetu
Atakuwa kasahau mtumie hako kamilioni tu boss wetuShangaa na wewe! Atatoa mno macho leo!
Siwezi kwanini hakunitag mapema?Atakuwa kasahau mtumie hako kamilioni tu boss wetu
Mishangazi itakuwa ilimzongaSiwezi kwanini hakunitag mapema?
Biashara ya kitoto hiyo. Mzee wa mishangazi uuze kiduka cha 780k, kweli?Membership wa JF Nisaidieni nina Wazo la Biashara ya Electronics - Nahitaji Tsh 1,000,000 kama Mtaji.
Habari za humu wakuu,
Wakuu leo kidogo nimeacha na habari za mishangazi nimekuja kivingine kabisa baada ya kuona umri unasogea na nyumbani simu zinaita kwa mfululizo. Nimekuwa member na nimejifunza sana hapa kuhusu biashara.
WAZO LANGU LA BIASHARA
Nimepanga kuanzisha duka dogo la vifaa vya simu na accessories maeneo ya Bunju, Gongo la mboto au Kisewe
Sababu:
Nimepita ofisi zaidi ya 15 katika maeneo hayo niliyotaja na nimegundua wengi, wanalalamika kupata chaja/earphone kwa bei kubwa isiyo rafiki. Lakini licha ya hayo yote kuna baadhi ya sehemu kumekuwa na ukosefu wa hizi bidhaa kabisa.
Nimefanya utafiti huu kwa mda sana kwani maeneo yote hapo ni sehemu ambazo nimeishi na hi imetosha kwa mimi kufanya biashara kwani machimbo ya bidhaa zote najua ambayo yanaweza kunipa faida kwa bei rafiki kabisa
Kwa sasa nitaanza na:
Chaja, Earphone, USB zote, Screen protector, Extension Cable, Speaker ndogo na Bidhaa zingine ambazo zipo related na simu .
KWA NINI TSH 1,000,000?
Huu ni mchanganuo wangu
| Mtaji wa Bidhaa za kwanza | Tsh 780,000 |
Chaja Original 100pcs 100,000
Earphone 70pcs,50,000 Extension Cable 30pcs 150,000
Speaker Sunder 5 pics 50,000
Smart watch 5 pics 50,000
Screen protector 60 pics 60000
Phone Cover 50,000
Hii ni bei ya jumla Kariakoo |
Other Accessories related
Perfume 100,000 Cheaper
Chain 70,000 dazan 7
Nail cutter 50000
Others 50,000
Total 780,000 Tsh
| Stendi + Brand | Tsh 50000 | Kuegeshea na kubandika jina la duka |
| Kodi 75000 miezi 2 Duka dogo eneo la kawaida |
Board la kuweka bidhaa Used 15,000
| JUMLA Tsh 1,000,000
- Faida ya chaja 1 = Tsh 1000-3000
- Nikiuza vitu 20 kwa siku = Faida Tsh 30,000
- Kwa mwezi = Tsh 840,000
Hizi zote ni juhudi za kujikomboa kutoka kwenye wimbi la umaskini wakuu ahsanteni.
Kwa mwenye anaweza kunichangia kuanzia Pesa au Mawazo. Karibuni technologia815@gmail.com
Vishu Mtata Poor Brain Ms R Estugo mrangi Mtaachana Papillon 1906 binti kiziwi @MIXOLOGOGIST Sajo Zeus1 Mwizukulu mgikuru Zack Abdul Uchumiwakati msukuma msweetie CHIEF PRIEST maramojatu mitaliTz TODAYS Mchizi Kichuguu Scars Lucas Mwashambwa @Mawadarat bonjov @heary Mr Q Mwl.RCT TIMING Titicomb LOTH HEMA Akhi Waufukweni Kennedy Tlaatlaah Lwiva
madam s Natafuta Ajira Prakatatumba abaabaabaa mkupuo mwilawi sergio 5 Jaji Mfawidhi The introvert ngara23 Tsh mbarika adriz chakii Monetary doctor NDINDA baharia 1 The Icebreaker Kevzy Vonzelewsk konalipin Cicinho Mtoto wa tajiri adriz mdede6 Mdozdo njechele06 tunduma001 nyamalika Mshana Jr Savage Fundi Wa Jf Lavit lamshaba iamwangdamin Dadi Barnea herman joshua makoye sr Sarcomere rip faza_nelly chafya ngumu kwamsangaze Stacker Kibunango Mwami Ntale AlephMemShin Prince Kesh Jr Boqin Auxum Mboju mbarika Mr Gerome malaria