Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,767
- 58,335
- Thread starter
- #81
Mungu kakupa.........Binafsi naendelea kujifunza kuhusu maisha, wakati mwingi huwa nafikiria kuwa umri unavyozidi kusonga mbele kuna idadi ya fedha huwa namini kuwa haipaswi kukusumbua hata kama itakusumbua si kwa muda mrefu. Msinielewe vibaya jamani.
Wangapi wametupenda wameondoka hawajarudi.. we live once tukiondoka haturidi..."""