Business bana simple tuu kuna sheria ukijua mkuu hata hutoteseka aiseeeKumbe with a million I can do all of that,
Issue ni kwenye kuvitoa hivyo vitu 20! Inategemea na demand, uchangamfu na mengineyo..
Mkuu mashangazi vipi yamekuacha solemba?
Nishaanza kuona hapa ila hi ni business idea mtu anaweza aka wekeza aiseeeJamiiforum njoo nawazo la kupiga watu pesa kwa kuwaahidi watapata mamilioni ya fedha hapo utawaokota na utaona pesa zao maana wengi wanapenda mteremko.
Lakini kuja kuomba uchangiwe mtaji aloo hakuna rangi na fedhea utaacha kuona.
Daaah aiseee 😂😂😂😂Kidogo nikuombe namba ngoja tusubiri matajiri waamke!
Ni kweli kabisa.Tumsapoti huyu kijana jamani,sio Kila mtu anaweza kubeba zege
Kama biashara ni kitu simple kwanini usianze biashara yenye mtaji wa 10k ili upate faida ukusanye mtaji wa 1M unaoutaka😎Business bana simple tuu kuna sheria ukijua mkuu hata hutoteseka aiseee
Kuna jambo hapo ujaelewa mkuu..Kama biashara ni kitu simple kwanini usianze biashara yenye mtaji wa 10k ili upate faida ukusanye mtaji wa 1M unaoutaka😎
Nipe maarifa mkuu nimeichoka kazi ya kuamka saa 11 narudi home saa 6 usikuBusiness bana simple tuu kuna sheria ukijua mkuu hata hutoteseka aiseee
Kama umeajiliwa komaa huko huko..Nipe maarifa mkuu nimeichoka kazi ya kuamka saa 11 narudi home saa 6 usiku
Najua mambo sio rahisi ndio maana nimekushangaa wewe kusema biashara ni simpleKuna jambo hapo ujaelewa mkuu..
Ila mambo sio rahisi kama unavyozania
Aaah sikumaanisha totally ila tu kuna misingi flan ukiweka daah utateleza sana...Najua mambo sio rahisi ndio maana nimekushangaa wewe kusema biashara ni simple
Mkuu napata zaidi ila nataka nianzishe scale investment au business, maisha ya utumwa mabaya sana ndugu, Nataka nianzishe huku napiga huku then baadae ni quit mazimaKama umeajiliwa komaa huko huko..
Its better ukawa unapata 500k per month kuliko ku quit alafu ukaja kupambana na business ambayo inahitaji at least 2 year kuwa stable na kujua trend yake......
Siri uliyojificha kwenye biashara ni customer care, na elimu nyingine ni siri ya mtu na mtu.
Wanaposema mshika mawili moja .....Mkuu napata zaidi ila nataka nianzishe scale investment au business, maisha ya utumwa mabaya sana ndugu, Nataka nianzishe huku napiga huku then baadae ni quit mazima
Inategemea mkuuWanaposema mshika mawili moja .....
Ni sawa kabisa wala hawajakisea ila sasa ukitaka ufanye investment its oky uka focus na real estate.
Ila ukisema biashara basi itakubidi upate mtu ambaye ni makini sana ambaye ata handle kile kitu kama chake.
Biashara inahitaji utulie wewe kama wewe ndo mana wanasema either uache huko ulipo na kama ukasema unakomaa basi itakubidi ukusanye kiasi ambacho hata ukianzisha jambo basi unaanza kwa large scale.
Ku quit kitu ambacho kinakupa costant flow ya pesa ni zaidi ya sacrifice
😂😂😂😂🙏🙏🙏 Sema hii word cup muhindi atajuta ujueBrazil win or draw
Argentina win
France win
Spain win
Canada
Kuwa makini mkuu..Inategemea mkuu
Bosi wangu yupo versatile sana, Sema ndo hivyo yeye tayar kashajipata.
Jamaa ana bars, amefungua cash points, ana fanya logistics in short Jamaa anakula matunda alivyo Tumia miaka mingi sana kujenga.
Hapa itanibidi tu nianze hata kama nitafeli. Ukimfuata akupe ushauri a nakwambia anza na hicho hicho,
Nje ya mada mkuu, wewe ni too sexy au jinsia mbili??Mkuu kumbe kuna wakati una madini 🤣