JF hamjambo?

JF hamjambo?

Basi ngoja niongee nae kwanza...
but this only solves part of the problem.
Now why did you leave bila kuniaga?
laptop yangu iliungua, si unajua tatizo la umeme ila hio sio sababu kuwa ...hili la kutoaga tutalimaliza badae kidogo ..nataka niwafanyizie wabaya wangu kwanza
 
Mwali Husninyo nimemwita nyumbani kuna mchumba amepata, hivyo tuko busy na maandalizi

Huyu SI alikuwaga wapi?

jombaaaa..hatuendi kupiga pombe leo?..nilijua kwenye machimbo shimo limetema ndio nimerudi na hapa ndio najiandaa kuja kwenu kumchuku Mwali najua aunt atakuwepo.
 
Mwali Husninyo nimemwita nyumbani kuna mchumba amepata, hivyo tuko busy na maandalizi

Huyu SI alikuwaga wapi?
Shkamoo Uncle. Mi sijui Ivuga alikua wapi,
nimemuona tu kaibuka na thread eti anataka ripoti
Hivi Uncle kuna mahari toka kwake mlipokea bila kunambia?
 
Mwali nilishapeleka kila kitu ..wewe kwani upo interested kujua? siku hizi watu wahalipiwai mahari ni kinyume na haki za binadamu..sasa sijui wewe unalionaje hili
 
Last edited by a moderator:

Ukisha ongea na Uncle lazima urudi kuongea na mimi.
Nimekwambia landscape sio ile ulio acha.
There is somebody else who makes my heart beat now
 
na huyo mtu lazima nimpotezee..yuko wapi kwanza ..najua kuwa ha exist na ndio maana hayupo na haonekani..kuwa mkweli Mwali
 
Last edited by a moderator:
Kumbe umerudi??
Sikuona hii, ni matumaini yangu umekuta mali zako zote zipo salama...

mkuu wangu Katavi mali zangu hazipo salama kabisa binadamu bwana hawana huruma.ila ndio natafuta watu wangu wa karibu tuanzishe maandamano mpaka kieleweke .ufisadi siku hizi unaingia hadi kwenye ndoa za watu si ni hatari hii mkuu wang Katavi?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha, Naogopa nikikwambia utamtupia bucha!
Kusema kweli the interest is one way, yeye hana time :crying:

basi kama hana time itakula kwake kwani wenye gemu ndio wamesharudi hivyo na akae mbali najua anachunguli chungulia hapa ..hii ni alert....ajua kuwa hiki ni kimbunga na sio upepo kitamuunguza kama hatakaa pembeni na kuacha vitu vya watu:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
 
Hahahaha, hatishiki na mikwala ya namna hii ujue. lol
Halafu hao wenye game ndio kina nani sasa, wewe?
 
mkuu wangu Katavi mali zangu hazipo salama kabisa binadamu bwana hawana huruma.ila ndio natafuta watu wangu wa karibu tuanzishe maandamano mpaka kieleweke .ufisadi siku hizi unaingia hadi kwenye ndoa za watu si ni hatari hii mkuu wang Katavi?
Pole sana kwa yaliyokukuta, nipo tayari kwa maandamano aisee haiwezekani ufanyiwe umafia halafu tukae kimya.
 
Hahahaha, hatishiki na mikwala ya namna hii ujue. lol
Halafu hao wenye game ndio kina nani sasa, wewe?

sasa kumbe. halafu mbona haujibu pm zangu na kupokea simu, hujui tunatakiwa tutoke out ,,nina baraka zote za aunt na uncle
 
Pole sana kwa yaliyokukuta, nipo tayari kwa maandamano aisee haiwezekani ufanyiwe umafia halafu tukae kimya.

asante sana mkuu wangu ..tumeshafikia watu kumi na moja tayari Kongosho bado hajanijibu kuwa atakuwepo au hatakuwepo.na ndio nilikuwa na negotiate na mmiliki wa bar moja mitaa ya centre huko maandamano yetu tutayahitimisha pale.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom