Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,320
- 17,822
Uncle, huyo mngine hajasema chochote, we are just friends kwa sasaMwali......mahari tumeshapokea, kurudisha haiwezekani...we appreciate kuwa umempata mwingine ila mbona hujamtambulisha? mlete atacover up mahari ya Ivuga
Mwali,,,,you are just friends....so I think ataelewa tu kuwa as Mwali, kuna watu walishatoa mahari though it can be overturned. unaonaje....Uncle, huyo mngine hajasema chochote, we are just friends kwa sasa
ila najua with time inawezekana tukaendelea in the right direction
Sasa akisikia haya ya mahari ya Ivuga ndio basi tena, atawihdraw
Please uncle, please... do something.
No Uncle. Nadhani mngenipa muda.Mwali,,,,you are just friends....so I think ataelewa tu kuwa as Mwali, kuna watu walishatoa mahari though it can be overturned. unaonaje....
No Uncle. Nadhani mngenipa muda.
Mi sitaki kuolewa sasa hivi...
Na sio just a friend, fe is a special friend.
And there is potential ya kwenda next level.
Just don't apply any pressure on my uncle,
I need time. Haya mambo hayataki haraka
If it was only me hata leo ningesha tatua
But it depends on him, I can't force him ...
Let's just take it slow uncle ( Kongosho , help!)
This is why I love you Konnie, you are my hero! :hug:Mwali, dont worry
Nimetoka hospital sasa hivi
Yule daktari amesema mishipa yako ya miguu imetanuka sana
Unatakiwa kupumzika na stress ya aina yeyote kwa miaka miwili
Na hauko katika hali ya kufanya maamuzi yeyote makubwa kama kuolewa, kuuza kiwanja/nyumba au kuuza gari
Yeyote atakayefanya biashara hiyo na wewe, its Null and Void
Hadi daktari wako atakavyothibitisha vinginevyo
Si Kaizer wala Saint Ivuga wala AshaDii watakulazimisha ufanye maamuzi sasa hivi, mahari yenyewe mbuzi mmoja?
:gossipNimemlipa kidogo akkanika hii ripoti, ukifanya maamuzi niambie akaandike ripoti nyingine kuwa umeshapona)
This is why I love you Konnie, you are my hero! :hug:
Sasa ngoja na mimi niongeze speed kule kungine
Maana it won't take long before Uncle finds out...
Hahahahaha, hapo sasa, kasheshe...Lazima unilipe mwaka huu.
ashakuambia ni dada yake ivo msamehe tu mwenzioshe is around..shes my sister anajilaumu kwa mchezo alioufanya
hata mwalii anajua kua mm ni dada yako ivo aondoe wasiwasi kabisa .......pamoja sana mwalii kua na amani tushe is around..shes my sister anajilaumu kwa mchezo alioufanya
hata mwalii anajua kua mm ni dada yako ivo aondoe wasiwasi kabisa .......pamoja sana mwalii kua na amani tu