JF hamjambo?

JF hamjambo?

BADILI TABIA, please... don't make it harder than it already is.
@Ercikb52 na mimi? wapi na wapi jamani? msinisingizie plz
Mh.....Ngoja tuyaache haya maana huchelewi kusikia SI kapata pressure ghafla
Ooooh
Kuiba ile kitu raha ila kuibiwa halafu ukajua inaumaje?????
Hahahahahaaa usipime
 
Few days after you left nilipata matatizo na roommates wangu wa kike
So nikaanzisha thread ya kutafuta mtu tuchangie rent ili nihame
Akajitokeza Ambitious. Now we share a house. Sio mbali na pale pa zamani
Ukifika pale nipigie nije kukupokea. Ambitious is an honest guy, don't worry
But we really need to talk. Sitaki @Smilling Saint akwambie kabla yangu

kwani hujaona hiyo picha hapo juu?
 
ngoja nipitie kwenye hili duka manake naona mambo yanazidi kuwa too serious
View attachment 52386

mkuu, hizo zina kelele utaitsha watu, jaribu hizi

ftf_maasai_3b.jpg


stock-photo-black-masai-weapon-on-white-ground-25360639.jpg
 
Mh.....Ngoja tuyaache haya maana huchelewi kusikia SI kapata pressure ghafla
Ooooh
Kuiba ile kitu raha ila kuibiwa halafu ukajua inaumaje?????
Hahahahahaaa usipime
sinaga presssure mimi si unajua mtu wa gym kwa sana...ila inabidi nipige moja moto moja baridi kwanza:target:
 
Maumivu ya kichwa huanza pooooole poooooooooooole..... maumivu si mzaha...... @ Saint Ivuga
 
Last edited by a moderator:
nipo kwenye foleni mamito
Bora nikwambie hata kwa mbali maana SS kadhamiria!
Ok. during kampeni ya uchaguzi wa JF man of the year
Kuna watu walileta tetesi (za uongo) za kuchafuana tu.
Si unajua how uchaguzi unaweza kua? (refer Lusinde)
So kuna vitu watu walizusha wakati huo about EMT.
 
Please SS, nenda hii thread, changia unavo taka
but please just let me finish talking to Ivuga
Tukimaliza tutakuita uje usome, waonaje rafiki?
Hahahaaa Ruta ukamdunga kitu kudadadeki Rep Power zote kwishaaa kisa hii thread...Mwali una vituko lol
Au ulikuwa testing??
Kalamika huyo lol
 
Hahahaaa Ruta ukamdunga kitu kudadadeki Rep Power zote kwishaaa kisa hii thread...Mwali una vituko lol
Au ulikuwa testing??
Kalamika huyo lol
Ruta alikosea bwana, atapotoshaje umma kua peku ni safi?
Watu wanakufa usiku na mchana kwa kwenda peku yeye anapromote?
Ila naona Mods wamemrudishia reputation yake. Awe mwangalifu sasa.
 
Back
Top Bottom