JF hamjambo?

JF hamjambo?

waaaat?...nilitaka nikae kimya leo..niwe mzee wa chabo tu...ila kwa chupa hizi...nimefurahi...SI welcome back!...
Hureeeeeeeeeeeeeeee BAGAH in da house!
Dogo nilikumiss sana kijana wangu....vipi mzima?
 
Last edited by a moderator:
ngoja sie vijana wadogo tutu mie za kutufaa
mountain_dew-400-400.jpg

au hii

Juice.jpg
 
kuiomba hiy kitu

unakumbuka kuna kipindi niliwahi kuiomba hiyo kitu?
Hahahahahaaaa nakumbuka na tulikukatalia kabsaa ila kwa sasa inaonekana ni muhimu sana sema implementation yake ni kubwa yaweza kuwa module mpya kabisa kwenye development.
 
Hahahahahaaaa nakumbuka na tulikukatalia kabsaa ila kwa sasa inaonekana ni muhimu sana sema implementation yake ni kubwa yaweza kuwa module mpya kabisa kwenye development.

enheeee.... Sasa tuandamane kuiomba?
 
Saint Ivugaaaaaaaaaaaaaaaaa
nilikumiss mjengoni....
Zaidi nimeimiss avatar yako.....hilo koti na manyoya yake au umeibadilisha(natumia simu)

pokea hugs n kisses from BT....

thanks God nimemaliza shughuli zangu na nimeona niendelee kujumuika nanyi tena.
 
Back
Top Bottom