JF-get together party Disemba 2018

Mimi ushauri wangu mngeweka angalau siti za ziada walau ishirini za kuja kulipia papo kwa hapo maana si wengne kazi zetu hiyo siku inaweza kudondokea tupo zamu au tusiwepo zamu maana hakuna uhakika wa moja kwa moja hivyo si vyema kutoa pesa mapema...

pia Naomba kuelekezwa hilo eneo ukitokea chang'ombe

ntashukuru sana endapo nitajibiwa
 
Hili la papo kwa Papo liko vyema wadii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom