JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Hahhahaha kwani tupo wangapi?
Hahahaaa. Mko wangapi wapi?

Ulipaswa uniulize nacheka kwa sababu gani kwanza bana.

Nimeandika vile kwa sababu mie niko Namnyamba huku na kuja DSM sio kazi rahisi yaani uwezekano ni mdogo wa kuhudhuria hiyo Party na hiyo ndio ilikuwa maana yangu best. 😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom