MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,318
- 6,394
Shem unikumbushe nisije kosaKaribu sana mkuu
Shem unikumbushe nisije kosaKaribu sana mkuu
Ndo partner wangu huyooo!!me sitaki kwa kweliiHa ha ha haipendezi ke kwa ke.
Hapo chachaaaaAsante kwa kuniunga mkono. Ngoja idadi iongezeke pengine tutafikiriwa.
Daah sasa nitafanyaje? Mbona sitakuwa na hela ya kununua nguoHawaruhusu dear..
Basi ngoja mimi nikupe company..Ndo partner wangu huyooo!!me sitaki kwa kwelii
Vaa delaaVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora
Sawa tuu!!Basi ngoja mimi nikupe company..

Wanaruhusu?Vaa delaa
Kwa taarifa yako.Kitendo cha kunichagulia cha kuvaa ninakosa qualifications.
Pia, Eneo la party yenyewe haiko poa.
Ishu kama hizi tupeni wazoefu, watu tukale bhata ufukweli au mbugani.
Sio lazima uhudhurie mkuu.
Na wala hujalazimishwa my dear
Kijora! nitoe ushamba basVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora

Sehem zote ulizotaja bado za kishamba,Kwa taarifa yako.
Party ya kwanza ilifanyika Kebbys Hotel
Ya pili Coco beach
Ya tatu Escape one.
Asa ulikuwa unahitaji ukale bata wapi?
Zizini kwao au?
Eti mzoefu.
Buni chako ukirembe kaka
😀😀😀😀😀😀😀 Nataka nije DSM kusafisha nyota na Mrembo mtekemteke hawa wa huku porini ngozi ngumu kama ya goti nishawazoea.![]()
![]()
![]()
kumbe na wee umoo?