Lazima tuende sawaa
Mkuu usipate shida tunajuana humu sana! Party ni mwendelezo tu...so hakuna wa kutapeli hapa!Dont say I didnt warn you. Unamkabidhi vipi pesa mtu ambaye hujawahi muona na kwenye mitandao anatumia ID fake? Bora hata angekuwa mwanaume. Hawa wanawake tunaokutana nao bara barani, unamtumia elfu kumi na tano ya nauli aje kwenye tukio anakutapeli, hela harudishi na anatoa udhuru kibao, then hao hao leo ndio unakabidi 2,100,000 cash mkononi? Unategemea muujiza gani hapo zaidi ya kuwa dissapointed?

Hahahahhahaha kama vile tutakavyivimbiwa.Ntawawekea kreti lao na sharti hamna kubeba
Lazima tuende sawaa
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂weweeHahaaa. Kabisaaaa. 😜😜😜
Umeweza sasa mdogo wangu. 👏👏👏👏👏
wacha kabisa hii inaitwa funika kombe dada usijali kujulikana tutajulikana tu kwa hizo dress@hajar

Mambo ya dar jotooYooooh kwa mema lakin![]()
Mwendo wa kugawa makopa kopa tuAna like tuu![]()

Nafikiria kuandaa pati ndogo kabla pati kubwa haijafika ili tuweze kupata uzoefu wa japo kuweka mapozi mazuriHahaaa. Kabisaaaa.
Umeweza sasa mdogo wangu.![]()
