Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Hahahaaaaa. Tatizo sio nauli bana best tatizo ni chance na muda nitakaotumia kuja mpaka kurudi. 😂😂😂😂Fare zipo best![]()
Hahahaaaaa. Tatizo sio nauli bana best tatizo ni chance na muda nitakaotumia kuja mpaka kurudi. 😂😂😂😂Fare zipo best![]()
Mmmnh sijaelewaKumbe ni cute b!!!!!!!!! Nimekuja kuangalia aliyepost hii coment niliyoishuhudia inaandikwa mbele ya macho yangu. wewe ni cute kweli acha nikupe sifa zako.
Ptuuuu kukushinde weye... Ona unavyoniskratch na day yako"Butii"
Daahhh yaani wewe mkorofi wa kichinichini



Naona mtu kahamaki anashusha kashfa nzito nzitonini sasa
😂😂😂😂😂😂 umefanya na mie nimecheka ka wewe. 😂😂😂😂😂umeniacha nimecheka kam chizi ujue
Wakati unaandika hiyo comment ulikuwa NMB ATM ,kwenye folen. utakuwa umenielewa cute.Mmmnh sijaelewa
Humkumbuki huyo Sesten?Naona mtu kahamaki anashusha kashfa nzito nzito
Naona kama mtu haitaki au haiungi mkono party bora apite kimya kimya tu kuliko kukashifu watu ukhuty
Kwanini asimlipie??Kwanini amlipie sweetlee
Mungu wangu!Wakati unaandika hiyo comment ulikuwa NMB ATM ,kwenye folen. utakuwa umenielewa cute.






PoleeNatokea mbali mno kwa usafiri wa bus.
Amaaaaaa!!!!Humkumbuki huyo Sesten?
Juzi aliniparamia sehemu hadi nikabaki mdomo wazi. Itakuwa ndio raha yake hiyo.
Kuuumbe! Sikua nimemkariri aiseeHumkumbuki huyo Sesten?
Juzi aliniparamia sehemu hadi nikabaki mdomo wazi. Itakuwa ndi raha yake hiyo.
kuna mahala pitiaPolee
@Cole Williams kama mrugaruga vileView attachment 866746
Kutoka kushoto witnessj
Cole Williams akiwa na sweetlee na huyo kulia ni Mama Sabrina akiwaaga kuwa anakwenda kwa G


