FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Wanasemaga fuata nyuki ule asali

Wanasemaga fuata nyuki ule asali

Mchumba unaitwa huku Don ClericuzioNa ndiyo kusudi langu hiyo siku sitaki kuvaa pichu kabisa
Njoo bana RebbieMie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking
Namuona anauenzi usenior ilihali akija atashikwa mkonoHuna akili wewe ujue
Mchumba unaitwa huku Don Clericuzio
Saa kumi na mbili jioniIngekuwa kuanzia saa sita mchana hadi kumi na mbili au mbili usiku angalau ningeweza ila huo usiku mnene pagumu


Kuna kitabu cha wagen na ID zaoMie nitakuja Ila Hamna atakenijua hehee Just joking

Sawa organiser nimekusomaJamani. Inaanza SAA kumi na kuendelea. Ukitaka kuondoka hata SAA moja unaweza mbona
Yooooh kwa mema lakinNa ndiyo kusudi langu hiyo siku sitaki kuvaa pichu kabisa

Oooh yeah too casual asieeEeeh ile. Ndo shida ya coco. Coco sio makutano ya muda mrefu. Ile one two hrs hamna shida. Ila kusema kula na kunywa na kamziki kidogo hapafai
Potelea kushoto na hao waliokufata Pm.Sijawahi andaa party jf,
Lkn nilikuwa nasimamia party, harusi, send off ya zaidi ya watu 1000.
Kuanzia mapambo, chakula, vinywaji, usafiri na hata honey moon zao.
Kwa umri wangu mdogo nishapewa uenyekiti wa kamati ya harusi ya watu 800.
Sasa we unaongelea party ya watu 50?
Dada,
Naomba ning'atuke kwenye uzi huu,
Kwa heshima ya walionifata PM.
Utashukia kituo kipya mbezi mwishoHeee imeenda wapi?? Jamani sasa nikitoka huku kijijini nashukia wapi

WeekendHuyu mtoto nashangaa hajalala mpaka saa hii, sijui kanywa nini.
Hakika nitakuwa nayo mimi usijaliSina hakika![]()
![]()
![]()

Wewe unayo yangu imepoteaaHakika nitakuwa nayo mimi usijali![]()
