Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,735
Tutakukomesha kila round tunakuletea box LA juice halafu hamna kubeba unywe umalizeMnirudishie chenji yangu!!!
Tutakukomesha kila round tunakuletea box LA juice halafu hamna kubeba unywe umalizeMnirudishie chenji yangu!!!
Pole wa mkoaNipoo bi dada nawaonaa tu mnavyopanga harakati za kukutana watu wa dar
Yeah yeah...si unajua mambo ya kuparrrrrrNipoo bi dada nawaonaa tu mnavyopanga harakati za kukutana watu wa dar
ChanteePole wa mkoa

Ingekuwa kuanzia saa sita mchana hadi kumi na mbili au mbili usiku angalau ningeweza ila huo usiku mnene pagumuWhy jomoni![]()
Sijawahi andaa party jf,Ulianza kwa kutoa ushauri au ulianza kupaka?
Wewe si umeleta ujuaji?
Kwani ungeanza kuongea na kutoa maoni usingesikilizwa?
Unajikuta Mungu mtu...kukosea.
Mimi nina mwaka wa 3 katika uandaaji wa party za Jf...nazijua nje-ndani.
Wewe humu hujawahi hata andaa party za sisimizi.
Hebu tusikaushane uzazi
Haahhaha nakuona.. Na zikiwa nyingi nyuki haoNdiyo duuh.
Soda zitanifurahisha na zinavyojua kujaza tumbo


Na unavyopendaaa hatrYeah yeah...si unajua mambo ya kuparrrrrr
Hahah hii ni chit chitKwani umeambiwa ni lazima kuchanga?
Acha tu shoga angu tutaongea kule chembaa best!!!Khaaaa sasa huko chanika na huko kino itakuwaje sasa kwenye party ukienda utakuwa na mumu mm nitawapitia badae sana wakati wa kuondoka
chanikaaaa mojaaa...!!!Kutaneni gulioniChantee![]()

Wee acha tu...utafikiri nilizaliwa BillsNa unavyopendaaa hatr
Kumbuka na kanuni za kijora...no pichu....teh tehVijora haviruhusiwi?
Mimi na mume wangu na marafiki zangu tutalipia mapema sana.
Nifikirieni kuhusu kuvaa kijora

Yameisha tumekuelewa ila hata hapo ni sehemu kama bucket na mauzui ya party ni sehemu kwa akili ya kujuana. Bucket hatuwezi kwenda tukasema watukodishe sisi sana JF tu pekw yetu ambao hatuwezi kufika hata 60 huoni atataka hela nyingi kufidia wateja wake wengine ambao hawatajuwepo siku hiyo. Labda siku tuandae party ya kwenda kunywa na mziki hayo maeneo yangefaa maana hakutakua na haja ya kuwa sisi peke yetu.We kweli unanitafuta,
Nilimweleza kabisa mzigua, kwa jinsi nilivo ona mauthui ya party, hakuna haja ya kuchukua ukumbi.
Nikamwambia kama ni ishu simple tu, mnaweza kwenda hata pale bucket au nextdoor mkaufunga club kabisa.
Hapo ni party ya kishkaji tu
Hahhaha ubungo haipo siku hzi... Kwa Dula tutaenda before party walau atupe abakanja za hapa na paleHalafu si unajua daslam sijawahi kufika?
Utanipokea ubungo. Usisahau kunipeleka kwa dula makabila