JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

Mkuu hauna tofauti na Wale Waganga wanaotutumia namba zao kwenye simu zetu ili tuwatumie hela japo hatuwajui, hakuna mtu atafanya ivo.

Nashauri hiyo Party ifanyike kwenye eneo la wazi mfano Coco. Baada ya hapo watu kama watataka kwenda Ukumbini, watakwenda kwa gharama zao
Yani twende coco kufanya party?
 
Sasa jf ina mamilioni ya watu halaf party ni watu hamsini,sijaona logic hapo...kama mlikuwa serious na party yenu mlitakiwa mkusanye michango mjue idadi halaf ndio mtafute venue ya kutosha watu waliolipia.


Otherwise bora mjichague watu 50 mkutane
Tatizo ni kwamba hawatatoa wote. Party zilizopita idadi ya watu walikua wangapi JF nzima?
 
Back
Top Bottom