JF-get together party Disemba 2018

JF-get together party Disemba 2018

We kweli unanitafuta,
Nilimweleza kabisa mzigua, kwa jinsi nilivo ona mauthui ya party, hakuna haja ya kuchukua ukumbi.

Nikamwambia kama ni ishu simple tu, mnaweza kwenda hata pale bucket au nextdoor mkaufunga ukumbu kabisa.

Hapo ni party ya kishkaji tu
Ulianza kwa kutoa ushauri au ulianza kupaka?
Wewe si umeleta ujuaji?
Kwani ungeanza kuongea na kutoa maoni usingesikilizwa?
Unajikuta Mungu mtu...kukosea.
Mimi nina mwaka wa 3 katika uandaaji wa party za Jf...nazijua nje-ndani.
Wewe humu hujawahi hata andaa party za sisimizi.
Hebu tusikaushane uzazi
 
Back
Top Bottom