JF Freestyle battle special thread

JF Freestyle battle special thread

Wapi Khadija Kopa jamani? Humu ndani kuna watu wanajua kuimba taarabu? Big up guys.
 
Mc demo tatizo wakariri,Teknik zero wajiita mahiri,swaga kwenye gauge una sifuri, Hoi brain plus kiwiriwiri,Naspit content dhahiri,Zikuerase rap failure jangiri,Lyrical contents hizi nakiri,Lame reaction from Gucci nasubiri,
endelea kusubiri, kama hujui kwa that style unakaribisha umasikini, hivi utajua kushuka mistari lini? Ndugu, hapa 2ko jijiini na unatakiwa ukae kimjimjini, hapa we dont do ngonjera, so kaa kimya kama huna sera, na samahani kama nimekukera, but i want u juhudi kuongeza, Mm ndo Grand Husla wa kitaa, na ninakumulika bila ya ku2mia taa....haah! unashangaa?, that isn't enough na mashambulizi bado yana endelea.........!
 
Wamaliza wino kwako sioni falsafa,
Mc ndezi huwezi ku-cypher,
Freestyle zako infected soon zitakufa,
Static ziko palepale haziendi masafa,
Me ntapeta daima wee una-suffer,
Ratings zangu platinum wee si sulphur,
Si hiphop ila taraab wee ni kifaa,
New school mwazingua wotee twawa-fire,
Gucci, wayne, khalifa et. al mmexpire,
Mwatukuza gunz, sex, drugs hamna haya,
Old school game twaipeleka higher,
Positive lyrics twazileta thru tha wire,
 
Wamaliza wino kwako sioni falsafa,Mc ndezi huwezi ku-cypher,Freestyle zako infected soon zitakufa,Static ziko palepale haziendi masafa,Me ntapeta daima wee una-suffer,Ratings zangu platinum wee si sulphur,Si hiphop ila taraab wee ni kifaa,New school mwazingua wotee twawa-fire,Gucci, wayne, khalifa et. al mmexpire,Mwatukuza gunz, sex, drugs hamna haya,Old school game twaipeleka higher,Positive lyrics twazileta thru tha wire,
nilikua busy nadeal na wanaojifanya wachanaji kule FB na sasa nakuja kukumalizia wewe wa JF, usijidanganye mm ni static, Pat am dynamic, mm ni advanced, ww ni basic, u bring lyrics thru wire, while we, we use wireless, alaf cjui ile daftari yako ya mistari umeiweka wapi, ni bora tu ukaichukue, ili vizuri tukuue, lyrics zako zina PWAYA, msela nina mizuka VIBAYA, bcauz kwa kukutemea FIRE, angalia usichane pumba coz we are stil on AIR.....here da M.I.C!
 
Cmon sikuona hii....

Kama fimbo ya Mussa jangwani napaza saut
Nawaona watoto mistari yenu mifupi ka vibushut
Mnafreestyle mkichechemea kama mna gaut
Damn, stop shoutin,,,, mistari milaini zaidi ya *******t
Mmeona nimeingia mnatoka barut..yes sio baruti ni barut
Nisogeleeni kwa mstari niwapige barut.. watotob wa mama mnaremba vina vibovu bado sijackia saut

Mwabaluhi mistari milaini zaidi ya sufi, inanuka michaf ka uduf
Mi naandika mistari korofi nanata na vina nakutisha woof
Mbwa mkali sichezi na wewe ikurufi ngekutusi ila mod wakorofi
Chezea chuma ya moto ujilambe kidole ka mtoto aliyepewa msokoto akadhani ni makweme ya doto
Amaout
 
Cmon sikuona hii....Kama fimbo ya Mussa jangwani napaza saut Nawaona watoto mistari yenu mifupi ka vibushutMnafreestyle mkichechemea kama mna gautDamn, stop shoutin,,,, mistari milaini zaidi ya *******tMmeona nimeingia mnatoka barut..yes sio baruti ni barutNisogeleeni kwa mstari niwapige barut.. watotob wa mama mnaremba vina vibovu bado sijackia sautMwabaluhi mistari milaini zaidi ya sufi, inanuka michaf ka udufMi naandika mistari korofi nanata na vina nakutisha woofMbwa mkali sichezi na wewe ikurufi ngekutusi ila mod wakorofiChezea chuma ya moto ujilambe kidole ka mtoto aliyepewa msokoto akadhani ni makweme ya dotoAmaout
King wa hii thread, nimewasili once again, with the aim of only one thing, eti ungetusi, remind u hiphop c o matusi, hiphop ni ujumbe, kama unaweza ebu twende, nikuoneshe mbindembinde, coz mm ni star nadhani unancheck jinsi ninavyo ng'aa, na angani ninavyo paa nakukuacha down ukishangaa, unamtishia simba na woof? Kweli ww ni zumbukuku, au unataka nikutoe buku?
 
Acha majigambo bwa mdogo,kwa freestyle am sure huniwez hata kdogo,ntakupa stress upate hasira ka za mbogo,huniwez kwa lolote we chogo,unachonisha wewe labda ku2pia mikorogo,....
 
Buuum pah! bu bubu pa!,
Yeah,
Niliko toka mbali,
pia mi mkali,
SIna mashairi, ni hii free styli,
usicheke usinune usiuchune,
sipendi auto tune,
kwa flo hizi lazima ukae,
mimi si mkali nagonga beat mwenyewe,
Kisha nakupa bure,
MC mchovu unataka bato,
weee Acha utoto,
huwezi huu moto,
am phatbeat soja,
nawakilisha kikamanda,
moja moja ndo mtindo,
ukinitafuta utanikuta kwenye kimondo,
am out!,
neeeeeeeeeeext
 
Cmon sikuona hii....

Kama fimbo ya Mussa jangwani napaza saut
Nawaona watoto mistari yenu mifupi ka vibushut
Mnafreestyle mkichechemea kama mna gaut
Damn, stop shoutin,,,, mistari milaini zaidi ya *******t
Mmeona nimeingia mnatoka barut..yes sio baruti ni barut
Nisogeleeni kwa mstari niwapige barut.. watotob wa mama mnaremba vina vibovu bado sijackia saut

Mwabaluhi mistari milaini zaidi ya sufi, inanuka michaf ka uduf
Mi naandika mistari korofi nanata na vina nakutisha woof
Mbwa mkali sichezi na wewe ikurufi ngekutusi ila mod wakorofi
Chezea chuma ya moto ujilambe kidole ka mtoto aliyepewa msokoto akadhani ni makweme ya doto
Amaout

MC sanuka tupo JF education,
Me na Gucci twakupa free tuition,
So beta pay some attention,
Unahanja si ndani ya graduation,
Komaa soma hii dissertation,
Huwezi acha kacheze playstation,
Flow huna waleta tu action,
Nakuchana niakomplish yangu mission,
Kukupa vyote elimu na lyf vision,
 
Baathi yenu hapo juu mnatoa ngonjera inaonekana hio ndio yenu fani. Amani kwa dawa kloroquin huge improvement boy
 
MC sanuka tupo JF education,Me na Gucci twakupa free tuition,So beta pay some attention,Unahanja si ndani ya graduation,Komaa soma hii dissertation,Huwezi acha kacheze playstation,Flow huna waleta tu action,Nakuchana niakomplish yangu mission,Kukupa vyote elimu na lyf vision,
mwabaluh we mchovu mi simba we chui,mistar yako imekosa nyama ka miguu ya buibui,we kwangu ni kama mtoto kwa mama yaan hakui,simaanishi kwamba hujui,ila me ni kubwa lako ka ni kombe huchukui,mistar yangu inaladha zaid ya la nazi tui,halafu cha ajabu unajifanya hunijui,...
 
DJ nipe beat!............mistar yangu siku zote waga ya kwanza, kama threads za Invisible kwa kila jukwaa, eti acha wehu wakati mwenyewe ni mwehu, ww ni wa leoleo then u pretend to know much, kamwe huwezi kulihimili hili bonge la match, u & hiphop ni vitu viwili ambavyo havi-match, ts beta ukakaa mbal...... yeah ts true! Mwalabuhi & Gucci, we provide hiphop tuition ya bure, especially kwa wa2 ka' nyie ambao mjaenda shule, lakin 2kiona mnazingua hatuchelewi kuwatupa kule...
 
Nashangaa unajiita gucci wakati hauna 'mane',Gucci na mwabaluh ngoja sasa niwachane,Acheni kunidiss au mnataka tuchapane?,mnanitia hasira au mnataka niwatukane?,hamniwez kwa lolote hata mkija wanane,km vp mjisalimishe tuungane tupatane,.....
 
mwabaluh we mchovu mi simba we chui,mistar yako imekosa nyama ka miguu ya buibui,we kwangu ni kama mtoto kwa mama yaan hakui,simaanishi kwamba hujui,ila me ni kubwa lako ka ni kombe huchukui,mistar yangu inaladha zaid ya la nazi tui,halafu cha ajabu unajifanya hunijui,...

Hahahaha mkuu ntarudi na mistari yako, napita kwanza
 
MC sanuka tupo JF education,
Me na Gucci twakupa free tuition,
So beta pay some attention,
Unahanja si ndani ya graduation,
Komaa soma hii dissertation,
Huwezi acha kacheze playstation,
Flow huna waleta tu action,
Nakuchana niakomplish yangu mission,
Kukupa vyote elimu na lyf vision,

duh!mzee kama dudu baya kwa kulazimisha vina!!!!!!
 
0ne two one two
one two one two
nipe mic , nipe mic
waraap ..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom