namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili odm
namba tatu bishanga
namba nne rejao
namba tano emt
namba tano babu dc
namba sita nzi
namba saba mbu
namba nane bagah
namba tisa tanmo
namba kumi nyani ngabu
namba eleven the finest
reserves:
Mtaly
judgement
and son on
hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.
Washangiliani namba wani husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.
kaka nimesikia kongosho akiniambia utakuwa nae kwenye kamati ya ufundi....au unataka kucheza tukupe namba 5 ?
Akina nani?no, nataka nijumuishwe na wale vijana waokota mipira, hivi wanaitwaje vile? Sijaona list yao!
Jukwaa la siasa tushaandaa jezi, tutapiga uzi wa maana! Hatuvai bukta,tutapiga 'topsi' la gwanda kama Cdm, uzi wa juu utakuwa na rangi kama bendera ya chadema. Ritz, Rejeo na pasco, hawatapangwa. Hawachelewi kupokea ki2 kidogo toka 'chit chat' c unajua tena wale ni magamba, na rushwa ni sehemu yao.
Hahahahahaaa usisahau kwenda na Bagamoyo maana hawa jamaa wa Jukwaa la Siasa washazoea mambo yaufundi..Mi nitakuwa mwenyekiti kamati ya ufundi ninauzoefu wa hali ya juu kwenye mambo haya..
Ngoja nikawaweke sawa wazee wa Tanga na Sumbawanga...
Hahahahahaaaa hivi hujasikia captain wa Magamba ni Rejao na Kamati ya Ufundi ya Jukwaa la Siasa ni Ritz?Nipo kwenye kisimu cha mchina ningekungoea "likes" kama kumi hivi!
Nadaka kama Shilton, sitegemei mpinzani golini (ila wakija magamba sichezi, hawakawii kuuza mechi hao).
Hahahahahaaa usisahau kwenda na Bagamoyo maana hawa jamaa wa Jukwaa la Siasa washazoea mambo yaufundi..
Yan hata wakiumwa malaria wao wanahisi tayari washazidiwa kete lol
wana maisha magumu sana aiseee
Hahahahaaa siku hiyo lazma jukwaa la Siasa lidode sanaJukwaa la siasa unadhani basi ni wote kunawazandiku wachache kama Ritz, Rejao.... hawa itabidi niongee na wazee wapate degedege siku ya mechi.
Namba moja maziwa ya mgando.
Namba mbili ODM
Namba tatu Bishanga
Namba nne Rejao
Namba tano EMT
Namba tano Babu DC
namba sita Nzi
namba saba Mbu
namba nane Bagah
Namba tisa Tanmo
Namba kumi Nyani Ngabu
Namba eleven The Finest
Reserves:
mtaly
Judgement
And son on
hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.
Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
na wengine wote sasa.
Siungi mkono hii timu hapa hakuna wachezaji watakao leta chachu ya ushindi labda Nzi na Rejao la sivyo tutaweka rekodi ya kufungwa mabao mengi hasa mechi za kimataifa.
Timu nayopendekeza japo kwa kuanzia ni:
1.Balantanda
2.Questt
3.Belo
4.Ndetichia
5.Gang Chomba
6.Nzi.
7.Rejao
8.Viper
9.Mc Tilly Chinzega
10.MwafrikaHalisi
11.Mbu
Team Coach:Kombo akisaidiana na assistants Pazi na Ulimakafu.
ODM na Babu DC ni washauri wakuu kutokana na uzoefu wao.
Reserves;
~Wacha,Huyu jeuri kama Tevez anawekwa benchi aache kauli mbovu.
~Punainen-red,Huyu kama Balotelli.
~Ambitious,super sub.
~Sobhuza,ana majeraha ya mara kwa mara alitumia nguvu nyingi sana last AFCON.Ni mchezaji mahiri sana.
~Pianist,safe hands.
~Ab Titchaz,can play as well as score with both feet.
Hapo tunaweza angalau kutoa upinzani wa kueleweka.
Note:Mazoezi ya Chit-chat yataendelea kama kawa kujiandaa na wanasiasa mechi za hisani na utangulizi.
Kikosi cha hapo juu ndio suggested 1st eleven ya JF kwa ujumla.
Hahahahaaa siku hiyo lazma jukwaa la Siasa lidode sana
Halafu Rejao inabidi kumtenganisha na Cantalisia hata ikibidi kuwahamishia jukwaa la Matangazo madogo madogo
Akina nani?
Nahisi ni ,Mtei One,Bagah,Smili9ng Saint,Jugdement,Asprin,Shabani,Uporoto,Klorokwini,Jegi,
Kuimbuka wote hawa wanategemea nguvu ya Usiniumizieeeeeeeeeeeeeeeee