Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Hapa wala hakuna cha umagamba wala makwanda,Hahahahaaa sawa tutampanga ila aache ugamba
Anajua na ni mfungaji mzuri sana mie ndio najua atii!sasa dada ake..hata kama hajui kucheza apewe tu namba?
Mme wangu yuko fullmassnondo,mazoezi nampa kila siku,mazoezi ndio yatadetermine kama atapata namba anza kumpa zoezi mapema ili aje atuvutie akija zoezin.
Shemeji hii Avatar...............!au ndio ule mpango mkakati umeanza lol!Hahahahaaa sawa tutampanga ila aache ugamba
haya mie nitakuwa nampa pasi za mwishoAnajua na ni mfungaji mzuri sana mie ndio najua atii!
Yani bila yeye hiyo mechi haitakuwepo aisee!
Kwanza magamba wachache sana humu JF LOLHapa wala hakuna cha umagamba wala makwanda,
Mechi haingalii hayo,mazoezi na ufundi wa kupiga mabao,
Na mie najua ni fundi hasa wa kufunga nawashangaa nyie badala mniulize mie lol!
Hahaha hahhaah,Hahahahahaaa ukiona unanyamaza lol
Unataka kumpiga chini Rejao?
Mmmmmmmmmmmm!hapo ngoja nitafakari kidogo,haya mie nitakuwa nampa pasi za mwisho
Yule yko fiti kote kote,Yeye najua yuko juu sana kwa match za 666666666 kwa 88888888
Lol huko ni kwa kuwa unampa zoezi sanaaaaa
Asa hii inahusika nn,Kwanza magamba wachache sana humu JF LOL
Ni familia yenu tu
Mme wangu yuko fullmassnondo,mazoezi nampa kila siku,
Na ni hodari wa kufunga magolo ya mbali na ya karibu.
Sijambo kbs swaiba,Cantalisia hujambo mama?
hayo mazoezi yako una hakika yanaendana na futboli?
Manake mtu asijedondoka uwanjani na mi kadiaki aresti...
Mmmmmmmmmmmm!hapo ngoja nitafakari kidogo,
But nijuavo mie yule akishika mpira ni mpaka wavuni hua hatoi pasi ati!!
Hapo ashindwe mwenyewe lol
Mi nishaanza zoezi tayari
Sijambo kbs swaiba,
Nina uhakika kbs,kwani kila siku tunacheza futiboli na kiwango chake kiko juu sana!
Wala hawezi kudondoka yuko imara sana,sema tu watu wanaleta majungu ya kwenye sihasa mpaka mpirani hapa!