Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
- Thread starter
- #101
Nadhani hili swali linaweza kuendelea kujadiliwa side comments. Jibu lako limekaa kwenye tons zaidi wakati nilitaka ujibu kufatana na asilimia ya growth na kuilinganisha na asilimia tuliokusudia (target). Ni kama ndio bado tuko kati kati ya safari, na hiyo increment ya 1,1% haitoshi kwa kutoka 5,1% kufika 10% in 2015. Hata hivo tunaendelea na swali la kumi na nne