Hivi Washawasha umeshatumiwa pic ngapi? Za kuweka ktk cover..
Last edited by a moderator:
usihofu bi dada kila kitu kitakuwa poa,ngoja niongee na majaji.
Nalog off
hahahaha sitii neno hapo.
Nalog off
Mpaka sasa nimetumiwa picha 5 teyari.Hivi Washawasha umeshatumiwa pic ngapi? Za kuweka ktk cover..
mbona body unalo lazima upite hata kwa ugomvi.hebu chonga nao fasta aisee nianze kujiandaa kiromansiromansi
kama unampendekeza basi ngoja nifanye marekebisho kidogo.hata kama hautatia ila msisahau kumpa The secretary hiyo nafasi jamani anafaa sana haki vilee
Mpaka sasa nimetumiwa picha 5 teyari.
Nalog off
mbona body unalo lazima upite hata kwa ugomvi.
Nalog off
daadeik zao nitawamulika mpaka wanja wao upukutike kwa joto la taakitengo cha taa nakupa wewe mkuu.
Nalog off
daadeik zao nitawamulika mpaka wanja wao upukutike kwa joto la taa
Hee mbona hujazifikisha kwa majaji tuzipasishee..
hahahaaa...... Santeeee nakuhakikishia lazima filamu yetu itakuwa bomba ile mbayaaaa
daadeik zao nitawamulika mpaka wanja wao upukutike kwa joto la taa
Aminia mkuu ngoja nianze mazoezinafasi yako ipo wala usijali.
Nalog off
Mbona tunaoitwa my wife humu tuko wengi? sielewi elewi nahisi kama naibiwaHatoomba rushwa ya ngono kwa kuwa wewe si ndio my wife wake?nashukuru kwa kuipenda avatar yangu mpya.
Nalog off
mie tena sifai? au unaogopa taa weyehahahaaa we hufai aisee