Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 64
4.3 Local Government rates and taxes shall not be:
4.3.1 in excess of those generally applicable on Tanzania, or
4.3.2 based on profit, turnover, sales or output from mining operations, or
4.3.3 based on the value of land used for the mine, mining infrastructure or installations,
provided that the aggregate of such local Government rates and taxes charged shall not exceed United States Dollars Two Hundred Thousand (US$ 200,000) in any one calendar year.
Katika mkataba mzima so far hakuna mahalai nimezimia kama kwenye hiki kifungu, hebu check this out, hebu naomba wakuu mksome tena hiki kipande halafu mtoe maana zake maana ziko nyingi sana za kutufanya wananchi na serikali yetu kuwa ni majuha!
Mkulu FMES..
hii ni moja ya sababu inayofanywa mikataba kama hii iwe siri na watu wasiruhusiwe kuiona.
Hapo hakuna kodi wala mapato ya serikali bali hiyo dola laki 2 ambayo haijulikani inaenda wapi so far.... jamaa wame-dictate hadi local govt.... hii ni kali!