William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
1. Mkataba umesainiwa hotelini, huku waziri Karamagi akibeba mihuri ya serikali mfukoni mwake, yote haya yamefanyika kwa siri.
2. Kamati ya uwekezaji ya bunge haikufahamishwa kuhusu haya yote ya waziri Karamagi, ambacho ni kinyume na sheria zetu,
3. Mbunge Zitto, alipoutoboa ukweli wa yaliyofanywa na waziri Karamagi, akakubali bungeni kuwa ni kweli, lakini wananchi hatukuambiwa hiyo part ya waziri kukubali kuwa amefanya makosa.
4. The next thing, mbunge akafukuzwa bungeni, huku waziri Karamagi akiendelea kupeta, sasa mkataba ukaanza kusambazwa, na majuzi tumetishiwa kuwa ukikamatwa na huu mkataba utakiona cha moto!
5. Tumeupata mkataba hapa hapa forum, yaliyoandikwa ndani yake ni kichekesho kitupu, na ndio hasa sababu ya serikali kumfukuza bungeni mbunge Zitto, na kuwa wakali sana na huu mkataba ndio zinaanza kuonekana wazi kuwa ni usaniii wa mwaka,
In the wake of all this, ni justified wananchi kuwa na huo mkataba wa siri za waizi, thank God kuwa na wafadhili wetu wanao pia, maana sasa serikali wanahitaji kutudanganya sisi kwanza halafu wafadhili wetu kama kweli wanaweza!
Mungu Aibariki Tanzania Yetu!