JF Exclusive: The Buzwagi Contract

JF Exclusive: The Buzwagi Contract

Najuta kwanini nimejua mambo haya...........maana roho inauma kweli. Kuna sehemu sehemu itabidi nisiseme tena kama mie mbongo. seriously!!!AIBU
 
Kwa faida yangu mimi slow learner na kwa faida ya watu kama mimi, unaweza kunielekeza kwenye hiyo sheria walau niisome kidogo ingawa lugha ya sheria wakati mwingine inanipiga chenga?

Sheria za uwekezaji zinamtaka waziri kuifahamisha kamati ya bunge ya uwekezaji kabla ya kusaini mkataba wowote wa uwekezaji nchini, kwenye huu mkataba Karamagi hakufanya hivyo,

kama yote aliyoyafanya Karamagi ni within sheria zetu, basi wabongo wote kuanzia vyama vya upinzani, sisi wananchi, mabalozi wa nje, na pia mawaziri wanaozunguka nchi nzima sasa hivi, tunakuwa ni wenda wazimu kuzungumzia haya mambo, na hata hao wakuu huko US waliowaita Dr. Slaa na Zitto, wanakuwa pia ni wajinga kuliko sisi, is that right?

Hongera kwa wananchi wanaowazomea viongozi wetu huko mikoani, at least kuwazoema kuliko kuwatetea hapa forum, kwa maneno ya sheria! Hata wasipojiuzulu wataendelea kuzomewa, maana majuzi hata rais wetu naye alizomewa kule Dodoma, sasa wananchi wamechoka na ujinga wa kusubiri sheria!
 
Sheria za uwekezaji zinamtaka waziri kuifahamisha kamati ya bunge ya uwekezaji kabla ya kusaini mkataba wowote wa uwekezaji nchini, kwenye huu mkataba Karamagi hakufanya hivyo,

kama yote aliyoyafanya Karamagi ni within sheria zetu, basi wabongo wote kuanzia vyama vya upinzani, sisi wananchi, mabalozi wa nje, na pia mawaziri wanaozunguka nchi nzima sasa hivi, tunakuwa ni wenda wazimu kuzungumzia haya mambo, na hata hao wakuu huko US waliowaita Dr. Slaa na Zitto, wanakuwa pia ni wajinga kuliko sisi, is that right?

Hongera kwa wananchi wanaowazomea viongozi wetu huko mikoani, at least kuwazoema kuliko kuwatetea hapa forum, kwa maneno ya sheria! Hata wasipojiuzulu wataendelea kuzomewa, maana majuzi hata rais wetu naye alizomewa kule Dodoma, sasa wananchi wamechoka na ujinga wa kusubiri sheria!

FMES,

Heshima zako, mkuu nina mashaka ingawa bado natamani kuona hiyo sheria, lakini unajua executive pillar ina haki yakufanya mambo yake bila kuhushisha bunge especially kwa kuwa sio jambo la kutunga sheria mpya,,, kamati husika wakati wa schedule zake za kawaida ndiyo yawezakupewa update,,,

As said before I'm not expert in that field,But I'm meant to believe that during day-2-day activities,,, parliament is not necessarily needed to be involved, but could be informed thereafter,,, the function of Parliament is in kutunga sheria and thereafter to follow up if they are being enforced or not. Therefore I do not expect that whenever government plan to sign a contract parliament through xxx. committee need to involved in any form.

Trust me, convidence aliyonayo mh. Waziri ni kwamba alifuata taratibu zote,,,, ndio maana mimi nawatupia lawama wataalamu ambao wanafanya mambo kulipua,,, na kuanza mawaziri kupata shida hizo...
 
Cramer's 'Mad Money' Recap: Barrick a Golden Pick...wazee huku tukiendelea kulia na injustice za viongozi wetu na gold yetu ikiendelea kutesa na tuliowauzia bure kwa ujinga na rushwa,the dear sweatheart moneymaker wa wallstreet sasa ni Barrick gold(ABX) akiendelea kutema records dividends huku share price yake ikienda juu more than 500% tangu waingie Tanzania...tusitie hasira sana lakini ni sisi wenyewe tuliwauzia na kumbe nilikuwa sijui kuwa Barrick gold majority ya gold zake in the market zinatoka Tanzania...wazee this is the billions dollar company na resources zake kubwa zinatoka tanzania...hii ni nini sasa? sisi tunaambulia 125,000 ambazo nina uhakika hata salary za middle employee wao inazidi hiyo mutherfucking empowerment fund
 
4.4 The Company shall not be liable to pay in respect of its operations:

Look at another joke!

Heshima zako, mkuu nina mashaka ingawa bado natamani kuona hiyo sheria, lakini unajua executive pillar ina haki yakufanya mambo yake bila kuhushisha bunge especially kwa kuwa sio jambo la kutunga sheria mpya,,, kamati husika wakati wa schedule zake za kawaida ndiyo yawezakupewa update,,,

Mkuu samahani sina mpango wowote wa malumbano yasiyokuwa na faida kwa taifa letu, taifa zima sasa hivi limeamuka na wananchi vijijini wameanza kuwazomea viongozi, na sisi hapa tunatendeleza mapambano hayo kwa kuwaunga mkono hao wananchi, ikiwa ni pamoja na kuuchambua mkataba ambao serikali iansema ni wa siri na usalama wa taifa umesema ni makosa kukutwa nao, sisi hapa tunao na tunauchambua kiroho mbaya,

Halafu tunasubiri kwenda mahakamani, ambako waziri Karamagi ameahidi kuwa tutakutana naye huko, maana amesingiziwa na Dr.Slaa!

Ahsante mkuu!
 
A contract of more than U.S. $400 million is signed by two people without any witness, without government seal, not even a single reporter. (Just the two of them).

We have seen $40 million making headlines why not this one?

Tanzania: World Bank Approves U.S. $40 Million for Performance Results and Accountability Project [press release]
Soma hapa
 
4.4 The Company shall not be liable to pay in respect of its operations:

Look at another joke!

..mkuu mimi walichoniacha hoi ni pale waliposema ...shall be liable kununua product & services za watanzania,nikajiuliza what does that mean? maana hata breakfast ya hawa jamaa inatoka south Africa sasa ndio hiyo mitambo ambayo hata hatuna...nikajua ni usanii tuu kucover section nyingine na kuwachosha kina karamagi wasiweze kusoma kila kitu....kweli wazee tukubali tuu hapo hakuna kitu tunaweza kufanya maana international court ya haya mambo itatupiga tic tac ya nguvu sana tukijaribu kubadilisha hii mikataba
 
Cramer's 'Mad Money' Recap: Barrick a Golden Pick...wazee huku tukiendelea kulia na injustice za viongozi wetu na gold yetu ikiendelea kutesa na tuliowauzia bure kwa ujinga na rushwa,the dear sweatheart moneymaker wa wallstreet sasa ni Barrick gold(ABX) akiendelea kutema records dividends huku share price yake ikienda juu more than 500% tangu waingie Tanzania...tusitie hasira sana lakini ni sisi wenyewe tuliwauzia na kumbe nilikuwa sijui kuwa Barrick gold majority ya gold zake in the market zinatoka Tanzania...wazee this is the billions dollar company na resources zake kubwa zinatoka tanzania...hii ni nini sasa? sisi tunaambulia 125,000 ambazo nina uhakika hata salary za middle employee wao inazidi hiyo mutherfucking empowerment fund

Nipo hopeless kabisa.........mzee stop right there, enough najiskia kupasuka!!!!!! I hate Cramer, kwani sasa naamini anajua haya yote na ndio maana anachekelea..........ama kweli viongozi wa Afrika mabwege.
 
Kuuliza si ujinga.

Hivi mtanzania yeyote aliyeshiriki kuandika mkataba huu anajamiiana na mwenzi wake katika maana ya kuzaliana na kuongeza idadi ya watu au ni kapera asiye na mpango wa kuendeleza kizazi chake??

Hivi ni akili ya namna gani ya kumpa mwizi uwezo wa kisheria wa kuwaibia vilembwe wako?

Ni kweli kwamba wanasheria wetu kichwani hamnazo kabisa kiasi cha kuingia mkataba wa ovyo namna hii?

Wamepewa Shilingi ngapi za kuwayeyusha akili hadi kuandika madudu ya namna hii na kuyaita mkataba hasa ukizingatia hii ni kazi ya watu wengi?

Mzee warioba kabla ya kusema maneno yake ya kutukashifu watanzania alishapitisha macho kuona mkataba ukoje au anabweka kama mbwa mwoga?

Ndugu yangu Mudhihirr aliyepewa kazi ya kummaliza Zitto alijua ni kiasi gani anawasaliti wananchi waliomchagua na taifa kwa ujumla?
Ukizangatia kwamba yeye ni mwalimu wa Unusanusa alishindwa kabisa kkupata harufu kali na kutambua Mkataba umejaa uoza uchafu na aibu?

Kama mpika Kangara wa kimanzichana analipa Ushuru wa kangara yake na yule mwenye kiosk analipa ushuru wote kabisa ni vipi Tani maelfu za dhahabu hazitozwi kodi?

Akili gani hii Rais wetu kuja Marekani kuomba msaada huku yeye mwenyewe binafsi ameshiriki katika kuhakikisha taifa linakosa Mabillioni ya $$$ kwa kuachia Barrick wachimbe dhahabu kama vile Tanganyika ni shamba la marehemu bibi yao?

Kama kila dakika inayopita tunaibiwa ni akili kusema Tanzania kuna AMANI NA UTULIVU?

Hawa waheshiwa wakiibiwa Kuku wa mayai tu inakuwa habari mbele ya gazeti la Uhuru na Mzalendo na mitaa ya uswahilini kwetu wanajaza polisi kusaka vibaka kwa udi na uvumba, Iweje kuruhusu Mkoloni Mamboleo atuibie kwa mkataba huku tukidai AMANI NA UTULIVU umejaa tele??.
AMANI NA UTULIVU maana yake nini?

Hivi nikiwalamba mafisadi mishale ya shingo ya Kimakonde na kulala mbele mtaniita muuaji?

Nani muuaji wao au mimi?
 
Download as much as you can, It's Unlimited.
http://www.bongoradio.com/buzwagi_agreement.pdf

Sisi kama watanzania tuna nafasi kubwa ya kuanzisha na kuendeleza hili vuguvugu kubwa la mabadiliko ambalo linaweza kubadilisha mustakabali wa nchi yetu. Wakati ndio huu na hakuna ngoja ngoja,mapambano yaendelee na hawa mafisadi. Ukweli ni kwamba wengi tumeshachoshwa na mambo yanayoendelea nyumbani Tanzania.
 
thanx geeque,i was about to send you an e-mail.aluta continua
 
Niliwahi kusema Watanzania tuna tatizo la kimsingi kabsa especially kwenye uvivu na kutokuwa makini kwenye mambo mazito,,, hebu angalia masahihisho yaliyofanywa kwa mkono ni mengi na ya msingi, kwa mfano ni tatizo kurefer section 14.1 wakati unamaanisha 13.3,,, inaonyesha wazi walioandaa mkataba huu walidhani ni mkataba wa kukodisha fremu ya duka la kuuza mchele na dagaa... it is a shame to the country,,, ndio maana mimi nadhani waziri kwangu si mtu wa kwanza kumlalamikia bali wanaoandaa mkataba... if i were in those position kwa muda huu, ningekuwa nimewaondoa muda mrefu waandaaji wa mkataba wote...

Assumption mkataba huu ni halisi!
 
Wananchi wenzangu, Its no joke, wakati nasoma hii thread nimedondosha machozi bila kujijua! Its no loughing matter. We TANZANIANS we are in deep crisis! Its no joke at all. Jamani kama huu mkataba ndo ulivyo mingine iliyosainiwa na Benjamini Mkapa iko vipi? Kuanzia madini, umeme, viwanda nk? au wametumorgage wananchi wote? Tusishangae tukiambiwa kwamba tumeshauzwa. Maana hii mikataba ina vipengere vingine ambavyo Iam sure hata KARAMAGI hakuvielewa ingawa aliamua kusaini tuu. Its a big shame and we have to do something as Tanzanians, otherwise the country is being sold with wananchi! Na tukumbuke unawaona humu JF ndo Tanzania yenyewe ati! ndugu zetu huko vijijini they know nothing, they need our support and enlightment.

Naomba kila mwanaJF mwenye mapenzi mema na Tanzania, atafakari ni kipi anaweza kufanya katika hii hali, its no longer one man`s battle! Tuache itikadi pembeni. Tafadhalini sana.

We have to pay a huge price and we have to be prepared. Kwanza tumshukuru Muungwana Zito aliyefumua hili, mpaka atleast tukaijua "Buzwagi" saga, lakini angalia price aliyolipa kufukuzwa bungeni kama mhalifu! Sasa jamani, kila mtu alipo aanze kufikiria anaweza kufanya nini katika capacity yake kama yeye. Hii hali inatisha!

Tufanye juu chini mikataba mingine tuipate. Inawezekana, kila mtu atimize wajibu wake. tuitafute tuianike hapa.

Tukichelewa Tanzania si yetu tena!
 
...hapo Masanja umetoa point na sisi hapa tutaendelea kushindilia chochote tunachojua huku message ikiendelea mbele na wananchi kule wakiendelea kuzomea hawa nyang'au mpaka kieleweke,mzee kitakachowaondoa CCM ni hii power ya media na haya mablog yetu maana hawana uwezo wa kucontrol na weapon ya kuzomea ni kubwa kuliko na bado spray nyekundu tuu kuchora nyumba na magari yao popote yakipaki....kitakachofuata ni video clip ndogo ndogo na vijicamera vyetu vya cellphone tutawapiga wakiwa wanazomewa na tutavibandika kwenye hii mitandao yetu na itabidi kuwablackmail kwenye mitandao maana tunajua viongozi wa CCM ni malaya sana...zote ni njia chafu lakini ni effective na bora kuliko bunduki
 
1. Hivi kwa nini Royalty ni 3%? Nini kinazuia Serikali isiwe na share ya 10% kwenye profit itakayopatikana?

2. Je Kara aliposema anaharakisha kusaini hili deal ili kuwahi investment opportunity

"Mheshimiwa Spika, katika viambatanisho nilivyokupatia sasa hivi, vile vile nimeambatanisha wa kauli yangu hii. Vile vile uamuzi wa kuingiza mradi wa Buzwagi kwenye miradi ya Barrick Gold Corporation ambayo ni kampuni mama, ulihitajika kufanyika kabla ya Machi, 2007, vinginevyo fursa ya uwekezaji katika mradi huu ingepotea.
Mheshimiwa Spika, Kwa kuwa maandalizi yote ya kusaini mkataba yalikamilika nikiwa ziara ndefu ya nchi za nje, niliona si busara kuhatarisha uwekezaji wa mradi huu jambo ambalo lingeathiri maslahi ya Taifa. (Makofi)" mwisho wa kunukuu

Hapa jamani Kara sio anadanganya wabunge hapa? Fursa gani ya uwekezaji ambayo ingepotea kama asingesaini march?
 
1. Hivi kwa nini Royalty ni 3%? Nini kinazuia Serikali isiwe na share ya 10% kwenye profit itakayopatikana?

It is the current best practice if I may say, tatizo letu sio royalty tatizo letu ni kwanini Government of Tanzania is not one of shareholder!
 
Tufanye juu chini mikataba mingine tuipate. Inawezekana, kila mtu atimize wajibu wake. tuitafute tuianike hapa.



That is it, yote tisa kumi hapa mwanangu, tutafute mikataba mingine tuiweke hapa,

Salute mkuuu Masanja!
 
Nimeshindwa kuumalizia huo mkataba kuusoma, yaani i couldnt finish it. Imagine atleast wewe na mimi una uweleo kidogo wa mambo ya contracts, inatia huzuni. Nitajaribu kumuemail Anderson Cooper na 360 tuone kama ata keep honest on this. Let them see how western strip us naked infront of our children. By profesional ninafanya finance na sijawai kuona hii type ya Taxion. What you call this tax system? regression, liner, what is this kind of taxation?

Inanishangaza kwamba rahisi wa nchi ajatoa comment yoyote kuhusu jambo kama hili? Kama sikosei JK alikuwa wa kwanza kukashifu mikataba iliyo sainiwa na BM cabinent. sasa what kind of a mess is that.

Naunga na wana JF wote wanao suggest our own moveon.org, kama tungekuwa na bunge lenye nguvu ilikuwa ni time ya kuspinancy all contracts, lakini bunge ndio sio kazi yake.

Inatisha kusema kweli, inatisha sana... Mungu ibariki Tanzania!
 
4.3 Local Government rates and taxes shall not be:

4.2.3 based on value of land used for the mine, mining infrastructure or installations

provided that the aggregate of such local Government rates and taxes charged shall not exceed US $ 200,000 in any calendar year.

Now why give them the land free of charge? Are they our mothers? All countries charges the value of land and it is estimated that if you buy a property almost 60% of it equates to the value of land.
5.1 So long as this agreement subsists, the company is and shall remain entitled:

5.1.1 subject to approval of the Bank of Tanzania as provided in artical 5.2 below, to retain abroad the proceeds of sale of minerals to which the Company is entitled and, so long as the Company is able to discharge, as they arise, its obligations to make payments in Tanzania, to dispose of those proceeds as it sees fit:

Now here the BOT has been reduced to nothing except listening to the Master. A free ride indeed!
5.1.2 to enter into a loan agreement outside Tanzania for the purpose of financing mining operations and, subject to approval of the Bank of Tanzania, as provided in Article 5.2 below, to retain the proceeds derived from the disbursement of such loans;

Hapa ndipo mtakaposaga meno. The company will be paying loans unknown to anybody in order not to declare profits for ever.
5.1.3 To open and maintain bank account in Tanzania, denominated in Tanzania currency and freely dispose of the sums deposited therein without any restriction where the said accounts are credited only with amounts which are related to or derived from mining operations;

5.1.4 to open and maintainbank accounts in Tanzania, denominated in foreign currency, where such accounts are credited only with funds related to or derived from mining operations;

They like our minerals but refuse to accept Tanzanian shillings? How will our shilling stabilize? What will it depend on? They should go and mine their US dollars somewhere else.

BTW when you open a company in Tanzania do you need to seek permission to operate an account at the bank?

5.1.5 With the approval of the Bank of Tanzania, as provided in Artical 5.2 below, to open and maintain bank accounts in any foreign currency outside Tanzania which may be credited without restrictions and to freely depose of any sums deposited therein without restrictions and to freely depose of any sums deposited therein without restriction and without any obligation to convert into Tanzanian currency or return to Tanzania any part of the said amounts, provided that the company may be required to supply to the Bank of Tanzania at mutually agreed intervals such information on transactions in the said bank accounts which relate to mining operations as the Bank may resonably require for purposes of management of the balance of payments, foreign exchange reserves or monetary policy;

We sold all the rights to be a sovereign state and now we want them to feel pity on us and give what they want. Absolutely STUPID.
5.1.6 To purchase and sell Tanzania currency, through authorized dealers (if so required by law), without discrimination at the market rate of exchange for such transactions or at the official rate of exchange, if such rates are, from time to time, duly determined under applicable legislation;

5.1.7 To grant any charge, loan assignment, pledge, debenture, or mortgage; and

5.1.8 to export any minerals or associated products derived or extracted from the Contract Area and to sell such minerals and associated products to foreign purchasers.

Well how come our farmers are denied to sell their products directly to foreign buyers as they wish?
2. Within thirty (30) days from the effective date, the Government shall cause the Governor of the Bank of Tanzania to deliver to the company a letter giving the necessary approval required under this artical 5 in terms of the Foreign Exchange law. Failure to give such approval shall not affect or deter the company from exercising any of its rights or enjoying any of the benefits provided herein.

The Kings are determining terms!
5.3 the Government and the Ministers shall take all actions and authorize or approve any action, manner or thing to ensure the company retains the right and benefits granted under articles 4 and 5. all notices required to be published to give effect to the rights and benefits granted under this agreement shall be published and lack of publication shall not prevent the company from enjoying any benefits contemplated by this agreement.

5.4 The company shall be entitled to maintain its accounts and records for fax and accounting purposes using US $ Dollars


Even our ministers are not spared;
Who owns Pangea minerals LTD?
 
Back
Top Bottom