MSIMISEKI SENIOR
JF-Expert Member
- Nov 1, 2014
- 459
- 287
Ni hatari sana...........
zamani manyerere jackson nikijua ni very bright kumbe..
mwandishi mzima anadonoa sehemu za sentensi na kuweka hapa ili kutaka kuprove kitu ambacho hakipo,kha...!!
Hao mechmar walikuwa wapi hadi mtambo ukachukuliwa na paperlink ama PAP?.ndo kusema hawakua hata na watchman wa kuangalia mtambo wao?.
sisi tunachotaka kujua pesa za escrow ni za iptl ama za umma na kama ni za umma zimefikaje escrow kwani kama kulikua na matatizo ya overcharging kwanini tanesco wakaendelea kulundika pesa escrow.
pia kingine inasemwa pesa zote za escrow bila kuacha hata senti ni za umma,sasa hapa zile za halali kuilipa iptl ziliwekwa katika mfuko upi?na je zililipwa lini?
ya invisible unajifanya mwooooga haya watu washaweka wa 57
Hahahahah mi nilisema jamaa hana na kikammandi sana! Cheki watu tulivyosokomeza kigegedeo kwenye papuchi! Tunajiandaa kupakua namba 58 ndo mtaona maajabu