Demokrasia, demokrasia, demokrasia!
Hakuna awamu unayoweza kuongea yako ya moyoni kama hii, yawe ya ukweli yawe ya uongo. Kumbuka hilo.
Invisible
Hajakosea chochote ila ametoa tahadhari tu kuwa wanachofanya au kama wamedhamiria kukifanya waache ripoti ipo kwa watu,waache bunge lifanye yake.
FF kuna zaidi ya kurasa hizo uzionazo, hizo ni kama zimetumika kuonesha kuwa wadau wanayo ripoti nzima...
Kurasa zenye mbivu na mbichi wala si hizo mbili bali zimetulia tuli zasubiri wakati muafaka wa kuziweka hadharani pale tu ukweli ukipindishwa...
Sijui kama umeelewa...
Kama hana uwezo wa kuchuja basi hakustahili kuwa Rais.
hapo hamna kesi,kumbe hata issue ya capasity charge ilikua resolved kabla pesa haijatoka,soma doc yote utaona.
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!
Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?
Kama ni demokrasia ya hivyo na hatuhitaji,hao wenye Nchi zilizo na Demokrasia ya ukweli bado linapofika swala la Kiongozi kuonyesha leadership unamuona anasimama mahali pake.Hapa kwetu hii ni style ya uchonganishi tu,huchukui maamuzi unakimbia majukumu unaacha watu wanaparurana ili tu usionekane mmbaya kwa kila upande.
bot wameeleza vizuri ila wewe umetafsiri unavyotakaDuh Mungu wangu mbona BOT wamechafua hali ya hewa? Nani kabaki sasa kwa kuwa malipo yalikuwa na baraka za mwenye nchi?
Hii escrow imekuwa kokoro, imemwingiza kila mtu. Naona BOT wamejitetea lakini katika kujitetea kwao Kunawafanya wao watoke lakini mkuu wa nchi anaingia mzima mzima.
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!
Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?
"Maamuzi ya Mahakama Kuu yatekelezwe kama alivyoshauri AG" By Jakaya Mrisho Kikwete!
Ndiyo maana wewe mdini nimekuuliza, Hukumu gani hiyo? Au Bwana Mkubwa aliingizwa mkenge tu na AG?
hapo ndo hata mie nashsngaa,hamna kitu mpaka sasa.Umemjubi dada lakin wacha mm kaka nikujibu kidogo.
Kulingana na uandikaje wake amesema hizo ndio karatasi zilizotolewa, sasa lakujiuliza ni kitu kipo cha kutisha ktk hizo karatasi alizotuwekea hapo? Ama ni sample?
Siwezi jibu utumbo!
Kivipi mkuu. BOT wameeleza vyema kabisa na kwa maelezo yao mimi nakubaliana na hitimisho lao kwamba walitekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa. Katika hayo maelezo wameweka wazi ya kwamba mkubwa wa nchi alitoa baraka baada ya BOT kushauri kwamba viongozi wa kitaifa wajulishwe kuhusu malipo hayo. Huoni kwamba mkuu hapa anaingia?bot wameeleza vizuri ila wewe umetafsiri unavyotaka