JF Easter Ngorongoro Tour!

JF Easter Ngorongoro Tour!

Mdogo wangu huyo!
Usijali mamito.
Tena nitakuja na shemeji yako Ben Saanane.
Japo Bia nimeacha itabidi nije.

we dada kiboko mpaka wanasiasa we mbayaaaaa we mbayaaaa(in joti's) voice
 
Last edited by a moderator:
we dada kiboko mpaka wanasiasa we mbayaaaaa we mbayaaaa(in joti's) voice

Hahaha!
Si unajua tena, nataka niguse kila engo.
Halafu nataka nikurithishe hii kazi dadao.
 
yani itabidi twende wote kwani my husband Mentor kanisepa mwenzio ingawa roho inaniuma sana na saasa leo home sijui patakuwaje kwani itabidi kila mmoja alale chumba chake mm sitaki kumwacha nitamganda kama ruba mpaka kifo kitutenganishe kwani tuliapa church mm na yeye mbele ya kadamnasi mashahidi
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!

Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom