JF Easter Ngorongoro Tour!

JF Easter Ngorongoro Tour!

Nicas Mtei mehbuba wangu lazima niingie naye........hunifanya woga wote unaisha, presha inashuka, maumivu yanaisha! na mwishowe napona kabisa na hivyo nakuwa sihitaji dawa ya daktari yeyote yule zaidi yake sosoliso wangu tu

Wape wape vidonge vyao my cwtheart Paloma.. Wakicheka wakinuna shauri zao..
 
Last edited by a moderator:
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!

Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho

Kaka,
Kwa sisi tusio na mademu CC wala MMU maisha yetu yatakuaje huko camp?
 
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!


Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah.....khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Duh..sasa ngoja nisome thread yote!!!
 
Wife Paloma hujaniambia kama Ben Saanane ni mjengezi mwenzangu..

Ishia Hapohapo.....................Muulizane vizuri wewe na wifeyo Paloma, Ben Saanane ni nani kwangu.
Samahani sana sosoliso.............acha kumtajataja bwana a'ngu, atajing'ata bure.
CCM wampe Stress...........akija huku ChitChat nanyi pia mumpe stress........hilo aliwezekani.
 
Last edited by a moderator:
Hivi mpaka huu uzi unafikamo page 8, ni nani amenichagua kulala naye kunako tent? Nina uzoefu.

CC: Preta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom