KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
====================UPDATE=============
Kutokana na watu kuonyesha nia ya kwenda hivyo tunaweka kamati ya maandalizi ili tuone mchakato unaendaje wakati tunaandaa hii kitu tuwa alifu kuwa kwa watu waliopo dar es salaam watatakiwa kuchanga Tsh,200,000/kwakila kichwa kutakuwepo na coster full AC yenye seat 26 mimi nina arange na Arushaone tuone hii inakuwa vipi tutatoa taarifa kamili leo mchana.
=======================UPDATE====================
GHARAMA
Nikwamba gharama zitakuwa kam aifuatavyo:-
Usafriri Tshs,200,000/=Kwenda na Kurudi.
Malazi Tshs,40,000/=Kwa siku mbili kulala nje ya park.
Kula na vinywaji itakuwa utawala binafsi.
Na safari itategeme uwepo wa watu tunaweza kupanga safari kama tutafikia watu 28!!
Kwa aliye tayari Tuma Jina lako kwa PM na Na mawasiliano yako.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho