my dada nakupendaje tutaonana ijumaa eee???
huoni kakutag??
we utakuwa na nani kwenye tent lako? Kama vpi tuwe wote. Mi nipo alone
hivi mie tent langu nitakua na nani vileee..?
namsubiria huyo atakayejitaja
umetega vizuri.........akijitaja tu nistue
lol umbea kazi
ha ha ha mi thimooooo
nitakua pekee yangu..na gambe zangunamsubiria huyo atakayejitaja
hii mitego ya panya...paka hawezi kunasaumetega vizuri.........akijitaja tu nistue
lol umbea kazi
Vin Diesel yukwapi???
usijali best akijitaja au akimtaja tu nakushtua sitoki hapa
..mh..we unataka@Vin Diesel anikibande eeehtumuulize amu
huyo barbarian?!?!? mhhh hata sijui.....labda akija kwenye besdei ya mjeda tutamuuliza alikuwa wapi kafichwa?
nitakua pekee yangu..na gambe zangu
hii mitego ya panya...paka hawezi kunasa
..hahahahahaha..babu kashikwa..