Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
..mh..labda mpaka wa mujini..anaingia hadi bar.ila paka ananasaga kijinga.......subiri tu!
..mh..labda mpaka wa mujini..anaingia hadi bar.ila paka ananasaga kijinga.......subiri tu!
..mh..labda mpaka wa mujini..anaingia hadi bar.
naja......si usubiri kidogo.....namsubiri mehbuba sosoliso anisindikize
ahaaaaaa mi mdada bwana
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!
Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.
CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho
hahahhahahahhahahaha.. hujanijibu
Daaaaaaah!
naja......si usubiri kidogo.....namsubiri mehbuba sosoliso anisindikize
usiwe na shaka mahabuba wangu.. pamoja tutakwenda.. wewe Nicas Mtei kuulizia tu wake za watu hawaji.. waje wapi..?
anajua anachokuja kufanyiwa huku