uthipoenda hata mimi thiendi. miaMimi Thiendi
Waoooo!
Asante love.
Nimekumissssssss hadi kizunguzungu
mbona wewe unanafasi kubwa mimi sijachana na wewe au unavyosema kweli?
Hafu we Madame B inabidi nikutafutie mkodombwe!make mpana sana.........hivi mlongo wangu ujambo?nimekumithije?
ama kweli ukiwa mke uwe tayari kujua vimada wa mumeo na karaha zake loo
sasa na wale wengine watakuwepo itakuwaje??
Ruhazwe JR pia ni ex wako
sijakuelewa ujue
Asante kutokana na na barua yako uliyonitumia salamu zimefika na ujumbe umesomeka ila dhumuni la barua hii nikutaka kukuakikishia kuwa yote uliyoyasema yatafanyika kama ulivyo panga!!....although........Kusutwa Ndo Khabari ya Mjini>>>Namimi naikubali hiyo nakuandikwa na kwenye magazeti ya Shigongo ni umaarufu hupo??.........Kama jua la Kiama.
Kusutwa Ndo Khabari ya Mjini Kwa Kipindi hiki
Mie sijambo, Hofu na mashaka ni juu yako..........wewe ulie mbali na Upeo wa Macho yangu
Dhumuni ya waraka huu ni kukujulisha kuwa kule kijijini mazao tayari yamekomaa,
Hivyo umeambiwa utume pesa ili waagizie watu wayavune KakaKiiza.
Jamani kama nihivyo kosa liko wapi wewe uwezi kuteleza na sikila mtu amefika mbuga za serengeti,ngorongoro!wengine tulizoea mikumi lakini inategemeana na season kwani mbona nimeona camping ngorongoro sasa sijui nini mnapinga kuwa hakuna au??Ngorongoro na tents Wapi na Wapi?kila sehemu ya mwili itafreeze!!!!Mimi na Filipo tutakuwa Ngorongoro Serena!!!!!
Jamani inategemeana na season kwani mbona nimeona camping ngorongoro sasa sijui nini mnapinga kuwa hakuna au??Ngorongoro na tents Wapi na Wapi?kila sehemu ya mwili itafreeze!!!!Mimi na Filipo tutakuwa Ngorongoro Serena!!!!!
Na wewe sasa hata jani unastuka subiri uone kama ninyoka!!ama kweli ukiwa mke uwe tayari kujua vimada wa mumeo na karaha zake loo
sasa na wale wengine watakuwepo itakuwaje??
Hivi mpaka huu uzi unafikamo page 8, ni nani amenichagua kulala naye kunako tent? Nina uzoefu.Labda na wewe ni bazazi siunaona na bazazi mwenzio ajangaa??CC @asprin
CC: Preta
Hapana ni ukweli mkuu!!Nadhani tunachit chat tu...
Hapana ni ukweli mkuu!!