JF Easter Ngorongoro Tour!

JF Easter Ngorongoro Tour!

Asante kutokana na na barua yako uliyonitumia salamu zimefika na ujumbe umesomeka ila dhumuni la barua hii nikutaka kukuakikishia kuwa yote uliyoyasema yatafanyika kama ulivyo panga!!....although........Kusutwa Ndo Khabari ya Mjini>>>Namimi naikubali hiyo nakuandikwa na kwenye magazeti ya Shigongo ni umaarufu hupo??

Teeeeeeenyaaaaaaaaaaaaaaaaaa..............
habari+ndio+hiyoooo+!+chagua+CCM+kwa+maendeleo+ya+JIMBo+la+Arusha+Mjini.JPG
 
Dah kaakiiza umenipa wakati mgumu sana wa kuchagua wa kuwa nae kwenye Tent.

Anyway...!
Naomba kutoa order ya Tent la kuaccomodate watu 8 please maana nashindwa kujua niwe na Kipipi Amyner Chocs Remmy Arabela Preta au nanii.

Copy kwa Baba V

Mzee.wanitafta.mke.wangu.anakuhusu.nini...na..vihema.vyako..mke.wangu.atakuwa.na.mimi.mwenyewe...
 
Last edited by a moderator:
Wewe nahisi utakuwa una simu mpya tena ni Screen-touch.
Afu huna uzoefu nayo.
Kazoea nokia space ni 0 sasa hii ni ya kichina space ni no1 ukibonyeza 0 ni dot kazi ipo mpaka aizoee kazi imemkuta!
 
Ngorongoro na tents Wapi na Wapi?kila sehemu ya mwili itafreeze!!!!Mimi na Filipo tutakuwa Ngorongoro Serena!!!!!
Nilikuwa najaribu kujiuliza kama KakaKiiza yuko serious au anatania, Ngorongoro ulale kwenye tent....!
Watu wanarudi na Pneumonia aisee.............
 
Last edited by a moderator:
JF naomba kuwatangazia kuna Easter Ngorongoro tour inakuja na maandali yanaendelea kama ifuatavyo!

Nautaratibu wa Camping site huko hivi!
Kila tent litakuwa na uwezo wa ku accommodate watu wawili Gender aijalishi ninyinyi kujipanga!
Mnaomba kila mmoja wenu apange angependelea kwenye tent apangwe na nani ili tuone kama totweza ku accommodate tents for all members.


====================UPDATE=============

Kutokana na watu kuonyesha nia ya kwenda hivyo tunaweka kamati ya maandalizi ili tuone mchakato unaendaje wakati tunaandaa hii kitu tuwa alifu kuwa kwa watu waliopo dar es salaam watatakiwa kuchanga Tsh,200,000/kwakila kichwa kutakuwepo na coster full AC yenye seat 26 mimi nina arange na Arushaone tuone hii inakuwa vipi tutatoa taarifa kamili leo mchana.

=======================UPDATE====================

GHARAMA

Nikwamba gharama zitakuwa kam aifuatavyo:-

Usafriri Tshs,200,000/=Kwenda na Kurudi.
Malazi Tshs,40,000/=Kwa siku mbili kulala nje ya park.
Kula na vinywaji itakuwa utawala binafsi.
Na safari itategeme uwepo wa watu tunaweza kupanga safari kama tutafikia watu 28!!
Kwa aliye tayari Tuma Jina lako kwa PM na Na mawasiliano yako.......Kwa Maelezo zaidi piga No hii.0752307878.


CC: amu, Tulizo, lara 1, Paloma, Asprin, Superman, Kaizer, Preta, Zion Daughter, King'asti, Kipaji Halisi, watu8, Ruttashobolwa, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, KOKUTONA, FirstLady1, mwaJ, cacico, figganigga, Nivea, Smile Dark City Mrejesho





mkinisaidia kupata partner wa jinsia tofauti au akijitolea sina kipingamizi ntamghalamia kwa kila kitu
 
Back
Top Bottom