JF-Dar Wing.........Soma Hapa......Muda Unayoyoma!!!!!!!


aiseee nimepata pm kama mia hivi.................nimekataa katakata hata kuwa hakuna kitu kama hicho....kwamba ni udaku...............kumbe maglass yangu yamenilead vibaya nilikuwa sijaona!!!

i must go back to them with the correct message now...............uuurrgggggggrrrrrrrhhh
 

Poa Mzazi.
Nimeshasawazisha
 
Last edited by a moderator:
......pole sana...
 
Madame B wengine hatukuwepo. Na hatujui nini mliongea
 
kama unataka kujua njoo j'mosi tarehe 23 LTHP hapa jamvini hatutakujibu swali lako.

Nope. Sina muda na wala sitaki kuja. Nilitaka tu kujua kupitia hapa lakini hamna neno. Kila la kheri.
 

Hahaha
Mwenyekiti nawe huna taarifa?
 
Last edited by a moderator:
kama unataka kujua njoo j'mosi tarehe 23 LTHP hapa jamvini hatutakujibu swali lako.
Hapo kwenye red umekosea jukwaa siungepeleka kwenye matechnology au??siyo aina ya laptop??:dizzy:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…