mdogo wangu, kwanza kabisa nakupongeza kwa bandiko hili kwani umenijulisha kwa kioo kwamba kuna jambo mlijadili siku ya wp. sasa anza kwanza kuniambia yatokanayo na WP mlikubaliana nini kifanyike. pili kutokuwepo kwangu kwenye P haina maana kwamba uenyekiti wangu wa jf Dar wing mmeninyang'anya so kabla ya kupost jambo lolote mm mwenyekiti nilipaswa kujua cc Mtambuzi, Asprin na wee mwenyewe kwa utekelezaji.
Dada Mkali wewe........Duh!!!!!!!
hata hainihusu kumbe..........mie sio wa dar
Hujambo Ummu.............
Umekuja vizuri ukaharibu mwisho kumtaja Bazazi Asprin au nasema uongo Kaizer??je mkulu Superman hii imekaaje je alitakiwa kuwekwa kwenye bango wakati kaja shughuli wanaanua matanga??Mhmmm labda in another way not only for the white party!!mzee wa ODM kajaje hapa wakulu nisaidie! Madame B weka neno!je anahusika huyu kiumbe??mdogo wangu, kwanza kabisa nakupongeza kwa bandiko hili kwani umenijulisha kwa kioo kwamba kuna jambo mlijadili siku ya wp. sasa anza kwanza kuniambia yatokanayo na WP mlikubaliana nini kifanyike. pili kutokuwepo kwangu kwenye P haina maana kwamba uenyekiti wangu wa jf Dar wing mmeninyang'anya so kabla ya kupost jambo lolote mm mwenyekiti nilipaswa kujua cc Mtambuzi, Asprin na wee mwenyewe kwa utekelezaji.
Mkuu wewe chagua majukwaa ya kulinda thread zisiibiwe mimi nitakuwa nalinda haya yafuatayo, @Jukwaa la wakubwa, chit chat, Mahusiano na mapenzi
Umekuja vizuri ukaharibu mwisho kumtaja Bazazi Asprin au nasema uongo Kaizer??je mkulu Superman hii imekaaje je alitakiwa kuwekwa kwenye bango wakati kaja shughuli wanaanua matanga??Mhmmm labda in another way not only for the white party!!mzee wa ODM kajaje hapa wakulu nisaidie! Madame B weka neno!je anahusika huyu kiumbe??
Kweli huyu kiumbe ODM ni hatari kwa wake za watu.
KakaKiiza, asikudanganye...
Ana paka wake huyo,Akilia nyau....
Jirani wanazika...