JF Competition 2012: Judges & Sponsors


Mkuu, kuku anakula sawa na mdomo wake!
 
Mkuu embu nieleweshe hapo tuna sponsour nini? Btw I can sponsour nikipata uelewa wa kile ninachosponsour. Asante.

Mkuu, tunasponsor wale washindi watakaochaguliwa katika Categories mbalimbali. Tafadhali rejea post kuu kwa details.
 

Pamoja sana Mkuu. Hope kama anavyo-confirm kwako, atapata pia wasaa wa ku-confirm hapa ili tusonge mbele!
 
Je, unathibitisha sasa kuwa nikutoe katika U-Judge?
Superman kwanza kabisa naomba nirejee post yangu ya kwanza niliyotuma juu ya ushiriki wangu kama judge. mwanzoni niliona kabisa kwamba kuwa contestant na kuwa judge hakuwzekani wala fairness haitokuwepo. mind you hata kama katika position ninayogombea sitakuwa judge lkn majajai wenzangu wanaweza kuwa bias tu simply kwasababu am one of them.

sasa mnaniweka njia panda mm jamani nashindwa nisemeje hapa niwe judge ama niwe mshiriki?? lkn labda wanajamvi waamue kwani wao ndio wanaoniona kuliko mm nijionavyo wakisema nwe mgombea sawa niwe judge well and good.
 
Last edited by a moderator:

Fuata ile kitu roho yako inataka. Mzee Mwanakijiji alikataa kushindanishwa akiamini kuwa mchango wake JF tayari unaeleweka bila hata kushindanishwa!

kazi ni kwako!
 
Last edited by a moderator:
Teamo na Superman punguzeni kunizibia riziki!!!!!!! Yaani mmeona nikishinda nitafaidi sanaaaaa! Embu mniache nishiriki kwa raha zangu, Ujaji mmeona mimi mzee?

Hapa niko busy kujipanga kushindania hizo tuzo! Tuzo ya ujaji ikiwepo nitashikri!!!!!! Hapa naanda compaign team my compaign Manager The Boss hayupo maskini Mungu amtie nguvu kipindi hiki kigumu! Japo jina lake bado linanguvu!

Nimethibitisha kuwa nashiriki kugombea sio judge! Superman zigo lako hilo we songesha tu! Chezea udhamini kwenye tuzo!! ASHA Dii nimecomfim huku!
 
Last edited by a moderator:

imetulia hiyo..na italeta taste kubwa sana
 
Shiriki mwaya hawa wanataka ukose mijizawadi na wadhamini wanaongezeka,,

gfsonwin shiriki achana na ujudge title inahuuu
 
Last edited by a moderator:

Tichaa embu twende kwenye mpambano wetu wa kila siku OLD SCHOOL VS NEW SCHOOL/NEO MARXISTS!!!!!!! Inatakiwa ya kale yakutane na ya sasa!!!!!! Sasa usipokuwepo kule unafikiri itakuwaje! Ciello kuja pande hizi uongee na ticha!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…